kama yule

2008 ж. 8 Ақп.
648 010 Рет қаралды

swahili songs

Пікірлер
  • Hadi 2019 bado yavutia tu Rihamma namuona hehe

    @rozinahamisi84@rozinahamisi845 жыл бұрын
    • Rozina Hamisi atamm nimeikubali

      @emanueljohn6950@emanueljohn69504 жыл бұрын
  • ambao tupo 2021 tunasikiliza like hapa tujuane

    @toshamilinga1359@toshamilinga13593 жыл бұрын
  • Bado sijashiba kusikiliza huyu wimbo kbsaaa,,kama is the same na wew gonga like

    @hervekevinmazameza7876@hervekevinmazameza78764 жыл бұрын
  • Nani yupo hapa 2021, one of my fav love songs 💗💯✌

    @malkiafuraha9694@malkiafuraha96943 жыл бұрын
  • 2019 kuelekea 2020 mpo

    @markrichard2805@markrichard28054 жыл бұрын
  • Riyama alikuwa video vixen wa q chiller wow

    @nancypretty7576@nancypretty75765 жыл бұрын
  • Inasikirizwa kutoka oman now 2021 🔥🔥❤❤❤ old is gold

    @mohamedjimia3535@mohamedjimia35353 жыл бұрын
  • Naisikilza mara nyingi lakini leo ndo nimejua kama video queen wa hii nyimbo alkiuwa Riyama😂...who else?

    @touchingbillionhearts761@touchingbillionhearts7615 жыл бұрын
    • Hahaha 😂 😂🤣🤣😂 kweli

      @aksantedeborah7913@aksantedeborah79135 жыл бұрын
    • Kam mimi

      @Alegria_doPovo@Alegria_doPovo5 жыл бұрын
    • Wewe km mm

      @vagrant_tz@vagrant_tz4 жыл бұрын
    • 😅😅

      @jA-ox7vz@jA-ox7vz4 жыл бұрын
    • 🙀🙀🤣🤣🤣🤣🤣

      @gloriousn6425@gloriousn64254 жыл бұрын
  • Good music not just music here is where good music lives💪✊🙏

    @user-jv8kn5yc4f@user-jv8kn5yc4f9 ай бұрын
  • Wakati bado kuna mziki mzuri dah 😘😘😘😘😘

    @grace1992ify@grace1992ify2 жыл бұрын
  • wallah song zazamani zilikuwa nzuri sana na enjoy ila sasa ni fujo tu

    @zenabsadik9691@zenabsadik96916 жыл бұрын
    • Zenab Sadik 😂😂😂😂😂

      @shekhekhandereizer559@shekhekhandereizer5596 жыл бұрын
    • Zenab Sadik siku hizi ubisho

      @Rama_Mwaguya-254.@Rama_Mwaguya-254.6 жыл бұрын
    • Zenab Sadik kwel

      @awadhally8106@awadhally81065 жыл бұрын
  • Who is listening to his new song in 2020❤❤❤welcome back

    @shakirasuleiman3065@shakirasuleiman30654 жыл бұрын
    • 😆😆😄😄😁😁😅

      @jA-ox7vz@jA-ox7vz4 жыл бұрын
    • Hap vp wadau Kama upo namimi mwaka huu gonga like yako hapa

      @neymankwera2401@neymankwera24014 жыл бұрын
  • Bila shaka hapo mwisho wa wimbo amemtakia kila la heri Papii Kocha safi sana Aboubakar Katwila....Kunta...Kinte.

    @websterkinte8270@websterkinte82709 жыл бұрын
  • Qchifu alikuwa anaumwa!! Ninamkubaliii chakwanza sauti !!ngomakli

    @kemydirasjoseph1135@kemydirasjoseph11352 жыл бұрын
  • ataliiiiiisanaaaaa nyimbo bado kaliiiiiii adi sasa dah q sanaaaa likezako basiii kamabado unaikubali ngomaaaaa i

    @batalemustachi6717@batalemustachi67174 жыл бұрын
  • Kumbe uyu msee alikuw na maringooooo...2020 from Kenya

    @sadiqmwero2754@sadiqmwero27543 жыл бұрын
  • 2020 bado tuna sikiliza. Ina nikumbusha mbali sana daaaah. Kama ina kukumbusha sehemu tujuana

    @vasmotz@vasmotz3 жыл бұрын
  • Dah haya maisha bana ivi hawa washikaj walipeleka hela wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥💪💪 dah q chilla ulitupa mziki mzuri aseee duh

    @hamiskengwa5869@hamiskengwa58694 жыл бұрын
  • 2019 anipende kama mimi Awe simple kama mimi 💃🏿💃🏿❤️❤️❤️

    @stellabrunner1582@stellabrunner15825 жыл бұрын
  • This is the true flavor of Tanzanian Music, not what we are hearing nowadays.

    @frankmemmanuel4150@frankmemmanuel4150 Жыл бұрын
  • Q-Chilla bonge la mtu bwana...😍 Utabaki kua juu, Utabaki kua kileleni big boss. The true meaning of Old is Gold. 💯🔥

    @___raahma___@___raahma___4 жыл бұрын
  • Langu jicho tuu mana imenishika nakumbuka kuleeeeeeee.

    @bintialimwahezi5123@bintialimwahezi51236 жыл бұрын
  • Old is gold 2019 gonga like kwa wingi

    @ronaldomwampamba9577@ronaldomwampamba95775 жыл бұрын
  • This is the best track EVER out of Tanzania! Love this song!!!!

    @AkinyiAdongo@AkinyiAdongo12 жыл бұрын
    • Very true💪🙏🙏

      @user-jv8kn5yc4f@user-jv8kn5yc4f9 ай бұрын
  • Miss these days nikiwa mtoro wa madrassa kwenda kuwoch nyimbo za q chief banda la video dah.. Watching it now 2021 🇶🇦

    @sturbbornvideoz8547@sturbbornvideoz85473 жыл бұрын
  • From diamond IG

    @ugandakampalatv1497@ugandakampalatv14973 жыл бұрын
  • nakumbuka mbali sana jamani huuuuuundio mziki jamani daaaaah tampata wapi aaaaaaah

    @hussenally4497@hussenally44974 жыл бұрын
  • Kazi safi bro daily itasikika

    @quazarmusic8248@quazarmusic82483 жыл бұрын
  • Nakutambua kinoma mtu wangu old is gold

    @bintimohammedrashidrashid5027@bintimohammedrashidrashid50276 жыл бұрын
  • Nakumbuka mbali sanaa hii nyimbo kipindi hicho tunakumbatiwa vichochoroni daaah song za zamani nzuri sanaa zina hisia sanaa

    @salmalopesalmalopez6199@salmalopesalmalopez61995 жыл бұрын
  • 2020 quarantine mpo gonga like

    @georgebruno916@georgebruno9163 жыл бұрын
  • 30_6_2020 naangalia nyimbo kipindi inatoka hta nguo za kuvaa zilikua napata kwa shida lakini leo naishi kwenye ndoto zangu

    @shabanipili4919@shabanipili49193 жыл бұрын
  • Nakumbuka enzi za shule ya msingi. Najisikia machozi yananilenga machoni kila ninapousikia huu wimbo

    @elibarikimaganga9571@elibarikimaganga95715 жыл бұрын
  • Hii Song ilpotoka nlikua Mdogo sana..Nadhani nilikua kama class 1or 2 hivi..And for Now Nashkuru Mwenyezi Mungu Niko University

    @bekkamontana5448@bekkamontana54485 жыл бұрын
  • Enzi za ujana wetu hakuna mambo yasingeli wal mapiano mziki ulikuwa mtamu sana 2004

    @jamalisebarua9594@jamalisebarua95947 ай бұрын
  • 2020 am still listening bado yavuma ....nice voice mipangilio bahali yake

    @serahkarisa3438@serahkarisa34384 жыл бұрын
  • Salute na kukubali sana I love All your songs From America

    @neemasabuni5398@neemasabuni53984 жыл бұрын
  • Q -chifu soma hiyo..nampenda Mwenye Afya namwogopa wa Marathi .....hapo me nitatulia 2019 like jmn

    @barakachami8218@barakachami82185 жыл бұрын
    • Nipo hhhh

      @jamilairakoze6600@jamilairakoze66004 жыл бұрын
  • Naipenda sana watching 08/2019

    @mebasheembeto4259@mebasheembeto42594 жыл бұрын
  • Naipenda san

    @sashaalimwakudza4217@sashaalimwakudza42174 жыл бұрын
  • Bro kazi yako naikubali sana Mungu aibariki sauti yako

    @honorekiza8762@honorekiza87626 жыл бұрын
    • Aminia

      @giftytitho1261@giftytitho12614 жыл бұрын
  • Nitampt kama Yule hakuna tena😢 love imejaa kila kona warudi tu mond akafie mbli hakun kitu.

    @lucylucy7307@lucylucy73074 жыл бұрын
  • So much to say..! And yes, I'm here in September 2019!❤

    @sandrinekidasharira9713@sandrinekidasharira97134 жыл бұрын
  • 2019 niko hapa kabisa from Burundi (Bujumbura)

    @faa2023-ngaragu@faa2023-ngaragu5 жыл бұрын
  • Old is gold lovely songs

    @sallykanze@sallykanze9 жыл бұрын
    • Jefason Kingy Mrs uku pia unafika😂😂😂

      @saumuhassan1365@saumuhassan13655 жыл бұрын
    • Very true 2020 bado naitazama

      @bladechiko3512@bladechiko35124 жыл бұрын
  • Naipenda sana 2018

    @Mamsocom@Mamsocom6 жыл бұрын
  • Keep up the good flavors Tanzanians! I just love your music, wish you would come make some performance here in Finland some day. Helsinki has many Swahili speaking people from Africa.

    @joekaiga@joekaiga14 жыл бұрын
    • Ikopoa. Sanaaa

      @shamiraramadhan2406@shamiraramadhan24065 жыл бұрын
    • ⁰⁰00000⁰000

      @allymshinyanga2520@allymshinyanga25209 ай бұрын
  • Bado naipenda 11/4/2020

    @ramadhanomary1333@ramadhanomary13334 жыл бұрын
  • Kama yule' ni ngumu kumpata, ujumbe mzito sana, i solute you brother ,unakipaji, Big up and keep it up.

    @noelaswaytitus4975@noelaswaytitus497510 жыл бұрын
  • Q chilla kitambo sanaa

    @abuukissoabuuchannel3908@abuukissoabuuchannel39084 жыл бұрын
  • nice en a hit from bongo we love bongo en the truck still a hit here back at kenya tucheze cheze kitandani ishara ya mapenzi

    @georgekirimi6288@georgekirimi628811 жыл бұрын
  • hizi ndo ngoma jamaa si kucheza nyegez

    @joelchogo5075@joelchogo50754 жыл бұрын
  • ni noma sana enzi hizo

    @amanimahubane409@amanimahubane4096 жыл бұрын
  • Najisikia raha kwa nyimbo za zamani

    @nananana4885@nananana48854 жыл бұрын
  • Kweli Chilla

    @eleazerenana7864@eleazerenana78645 жыл бұрын
  • Fundii...Chiller katika ubora wake...!

    @ismailkatala4792@ismailkatala47925 жыл бұрын
  • Nimpende anipende awe wangu maishani wa 2019 like plz

    @chelseadiva1072@chelseadiva10724 жыл бұрын
  • Wow😍😍😍Superb😍😍😍Fantastic 😍😍😍

    @ENTERTAININGGAMECHANNEL@ENTERTAININGGAMECHANNEL4 жыл бұрын
  • Revisito as musicas do meu tempo e encontro um teor tao profundo do qual nem posso esgotar o seu sentido na minha vida. Amo o passado. uma nastalgia

    @manuelafonso9051@manuelafonso90516 жыл бұрын
  • pamoja q,nice song.

    @nurloy510@nurloy5107 жыл бұрын
  • Who is here in 2019?hivi kweli namimi nitampata kama yule

    @Dinosucre10@Dinosucre105 жыл бұрын
  • wewe ni mkali daima Q_chilla hata kama now hauko kwa game lakin we still lov yo and all yo songs but please tunaomba uturudishie heshima yetu brother pendanga sana wewe

    @davidnchoji@davidnchoji8 жыл бұрын
  • Zilizopendwa oyeeeeeeeeeeee

    @ayshamahariq6665@ayshamahariq66654 жыл бұрын
  • Wenye sauti zao, c mchezoooo, bado mupyaaaa hakuna kuchuja

    @fatmamussa6478@fatmamussa64784 жыл бұрын
  • Nakumbuka enzi hzo kila kijana alikua anamuiga q chilla wanafuga Rasta mbaya kitaani kwetu ili waendane namwamba

    @hamiskengwa5869@hamiskengwa58694 жыл бұрын
  • moyini nitampokea nayeye anipoke basi kwa hali yeyote this a song takes me far damn those days I use to sing while going home from school

    @munirasulub2057@munirasulub20578 жыл бұрын
  • Hautampata kama yule...waliisha😂😂😂😂😂😂

    @billalphilip5776@billalphilip57764 жыл бұрын
  • kweli hizi nyimbo zakutoka zanzibar zinafuraisha

    @rutafrank5476@rutafrank54767 жыл бұрын
  • best of q chief,wimbo na nusu

    @dume4158@dume41588 жыл бұрын
  • Such a great song. He really looks like he means what he's saying. Love it;)

    @MimiNimimi2@MimiNimimi212 жыл бұрын
  • My favourite musician 👌

    @maurinekemunto1642@maurinekemunto16425 жыл бұрын
  • duh Riyama nimemuonaa

    @ibrahimmakame5304@ibrahimmakame53044 жыл бұрын
  • wow...nyimbo yanikumbusha mbali....😢😢

    @basilalsharif6734@basilalsharif67348 жыл бұрын
  • ujumbe mzito. itaweza kuskizwa na kizazi kipya na vizazi hata vizazi.

    @OdilahPat@OdilahPat7 жыл бұрын
    • Patricia Odila yes throw back

      @bizzo6833@bizzo68336 жыл бұрын
  • Nakukubali baba toa Vitu vingine mkubwa

    @francoseneil16@francoseneil165 жыл бұрын
  • Weeeeeee rihamaa na huku ulipita my duuuh

    @estercharles7597@estercharles75974 жыл бұрын
  • Oohh! Love this song like ....

    @shantalismailhassan9878@shantalismailhassan98785 жыл бұрын
  • use to love this song so much still love it til now one of all time favourite song

    @peterconnor470@peterconnor4707 жыл бұрын
  • I real lyk this song, big up sana Q Chief kwa, the song sounds so beautiful na una ujumbe mzuri sana. Nitampata wapi kama yule? Very hard to get her coz the old z gold, so fantastic song

    @saimonsimion7280@saimonsimion72809 жыл бұрын
  • 3/8/2019 bado nasikilza ngoma kalii za longtime

    @rashidhassankadege1455@rashidhassankadege14554 жыл бұрын
    • Rashid Hassan Kadege like for u are you her like me

      @rahmaalkalbani2922@rahmaalkalbani29224 жыл бұрын
    • Kadenge mimi pia naskiza na wewe safi

      @atashaisha8706@atashaisha87064 жыл бұрын
  • Wazamani tulifaidi

    @magemushi5594@magemushi55943 жыл бұрын
  • Ilov this song so much ,really this is a lovly song,bro keep it up this song hav gud msg for mi too am lukng for who luv as the song says well done bro

    @maniernicodemus110@maniernicodemus1109 жыл бұрын
  • 2019 kaka rudisha majeshi

    @samirantisi8535@samirantisi85354 жыл бұрын
  • still a hit love me some old songs

    @nimoibrahim4235@nimoibrahim42356 жыл бұрын
    • Gusa unase

      @thomasdevil5217@thomasdevil52174 жыл бұрын
  • Naitambua hii ngoma ever since shule ya msingi 2018 octbr

    @abdijabarshimoyali3049@abdijabarshimoyali30495 жыл бұрын
  • yan q nakupenda nijielewe

    @shadiaali1394@shadiaali13947 жыл бұрын
  • I love da song...in 2019 na bado

    @joanmutheu188@joanmutheu1884 жыл бұрын
  • Riama tumetok mbar jmni😍😍

    @rosemarybenjamin4333@rosemarybenjamin43336 жыл бұрын
  • daaaaaa😍😍😍😍😍 Qiuchila 👌👌👌

    @rahelmilami1271@rahelmilami12714 жыл бұрын
  • Qchilla ni handsome sana...😗😗

    @mishibaron5021@mishibaron50214 жыл бұрын
  • I'm rather disappointed that the song of this quality hasn't been viewed by at least 5 million people. East Africans here we go. Always a big fan Q keep it up bro!

    @josephnyaga2916@josephnyaga291611 жыл бұрын
  • Old id Gold, tam haiishi hamu

    @W.i.s.d.o@W.i.s.d.o5 жыл бұрын
  • Yakale is gold alwasy real goga like twede sawa

    @zuberimohamedi6153@zuberimohamedi61534 жыл бұрын
  • Come back again Q-Chief,we still love you

    @halimabanzer245@halimabanzer2455 жыл бұрын
  • huyu ndo q chillah

    @AshrafAshraf-dm4xe@AshrafAshraf-dm4xe6 жыл бұрын
  • GOOD MUSIC FROM TANZANIA

    @amanichanga3448@amanichanga34487 жыл бұрын
    • Mashallah ume jua kuimba

      @rosemarysebea8522@rosemarysebea85225 жыл бұрын
  • Bahipenda Sana Hii Ngoma Jamani

    @brotheralimellody979@brotheralimellody9794 жыл бұрын
  • Hapo sasa

    @celestineayush4012@celestineayush40125 жыл бұрын
  • Tamu sana

    @hawakim9940@hawakim99403 жыл бұрын
  • Riyama alikua bikra😄😄

    @qudratv9169@qudratv91694 жыл бұрын
KZhead