Rose Muhando - Wanyamazishe (Official Music Video) SMS SKIZA 7634235 TO 811
2021 ж. 4 Мам.
26 961 581 Рет қаралды
Sio kazi yako kuwanyamazisha wale ambao wanakuwazia mabaya yupo Mungu atakae wanyamazisha we endelea kudumu katika maombi na kumngoja Bwana.
Studio : Jawabu Studios
Video Director : Hassan Mbangwa
Management
+255717003077
Email;malkiarosemuhando@gmail.com
#RoseMuhando#Wanyamazishe#NewVideo
Kama huu wimbo bado unakubariki na kuusikiliza hadi 2024 like hapa
Yes
Ukweli
Sana
🙏🏼❤️
❤
Wanyamazishe adui zangu yesu...mwaka huu wa 2024...nifungulie milango.... Jesus my banner of victory ❤❤
Amen
❤❤
Amen in Jesus name
Na mi pia ii ni lombi langu
Wanyamazishe aduwi zangu mwaka huu 2024 nifungulie milango YESU
Hili ni ombi langu kutoka kitabu cha Zaburi 109. Ee Yesu Nipiganie.
Nipeeni likes from Kenya kama unapenda nyimbo za Rose Muhando ❤️❤️❤️❤️
Lyks
hakika nimebarikiwa sana
Like it
Lovely sana
Roz Mungu aku tie nguvu
Woyoooooooooo 🔥🔥🔥🔥 Namtuma Gabriel malangoni qwahooo ,Wala wasiwe salama watoto waoooo, mad love ❤️❤️❤️❤️ mama 🌹 Rose,, ngonga like Kama umeifeel#TRM forever
I dedicate this song to my ex husband and his mistress. God will wipe my tears💔. Mungu atawanyamazisha both of you
God will be with you
God be with you in all your endeavours
Hugs mummy it shall be well❤
How are you so far😢
You will be fine in Jesus' name! Wishing you peace, healing, and strength.
Dada rose mhando my mungu yupo nawewe nasisi pia yupo nawewe from Rwanda kigari tunawapata vizuri sana wewe nafamiria 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
My all time ringtone give me even 20 likes za huyu mama kawanyamazisha kwelikweli 😍😍
Kama pia unasema wanyamazishwe like.. good message soo powerful
Mungu akubaliki mutumichi wamungu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Tunawapenda Sana Burundi awabariki Sana karibuni Tanzania
MUNGU awabariki Sana Burundi amani yenu idumu milele ameen love you Burundians
Nipe likes za 2024 wanyamazishe maandui jeovah nawafunge midomo
Wow feeling so blessing ..wanyamashise Bwana kweli mama tunakupenda from 254 .Jameni.ziko wapi like za mama
Wapi likes za Rose muhando 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤
kama huu wimbo bado kwako unakubless ,ngoga like ❤❤❤
Waooo❤
❤@@ashuraenos6080
❤❤❤❤
❤❤❤
Please I dedicate this to all the enemies who have been against my mom and my family 😢😢😢saint Michael I send u there
Wenye Tunakata Vitunguu Comment hapa...😭😭😭,Wiping my Tears from Germany 🇩🇪..Rose is my Best Gospel Artist in East Africa
Germany tuko
Saudia nishamaliza tissue dear 😭😭😭😭😭😭but there is Living God
She really is
💃💃💃💃
Waachie mungu🙏wangapi wanaamini kuwa Mungu husimama upande wa rose jamani likes ziwakilishe🙏
I really love this song.
Wale watakuwa 2090 wanipee like
Ambao tunaendelea kuwatch hadi 2023 tugonge like
Sisi wa Kenya tunapenda nyimbo za Rose muhando 🙏🙏
Napenda sana
Sana tena zaidi
Sana
Sanaaa
Nipeni like from Tanzania kama mnapenda nyimbo za Rose muhando💕💕💕
Rose muhando anazihirisha ni jinsi gani Mungu ame mbariki kipaji cha kuimba Mungu simama na Rose mpaka mwisho wa safari yake yake ya ya mziki nasi watanzania wote tunasimama nae daima💔💔💔
Kama bado hii nyimbo iko trendi nipe like tafadhari,, much love sister Rose
Pll Lkjkko
Llkjgvvgj
kama umepitia mateso kama hizi na mungu amekupigania wake like hapa😭😭😭😭
Wooooooi! MUMMY thanks for allowing God to use u Mightily. You're my favourite n my pleasure ever. Wakenya wenzangu nipe likes zangu hata kama nimechelewa kindly
Naipenda hii nyimbo sana.one love 🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥(long awaited)I had been listening audio...likes za wakenya wenzangu hapa kwa wingi..
Kazi zuri rose long waiting finally u made it, congratulations keep it up na mungu atakuongoxa .
Hatari nanusuuii
Wanyamazishe bwana . Huu wimbo wa rose Muhando umeniguza sana mpaka umeniponya roho yangu
Tanzania never dissapoint in both gospel and bongo music❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jssjsn❤ajnana
Dkkssksk❤❤❤nsnsnsnsnsnsnnsnsnsnnssnnsns
Uuuuuuuuiiiiiiiiii nyingine kali ya mwaka, jamani tulisubiri Sana sasa Muda ndo umefika, hongera Sana Mtumishi wa Mungu, aisee gonga like tukisonga kama unamkubali, Rose Muhando, wakenya tuko wapi, # wanyamazishe.
Ok
Raji Rajab kweli
Tuko huku kwa reply section 😅
Mungu azidi kukulinda na kutumia zaidi Bwana wanyamizishe
Pamoja🙏
Nataka nione likes Kaa Kama Umeguswa na wimbo was taifaaa💯💯💯♥️♥️♥️♥️🙌🙌🙌🙌🙌🙌 She's 🔥
Wow blessed song i lky it i remember what i was going through with my marriage walisema nitafukuzwa
I like the song
Wanyamazishe adui zangu wote baba🙏
A few days ago I argued with my immediate neighbour......with 4 others they ganged up against me....they attacked of nor having a job and staying indoors ....they told me they can't wait to see my house locked....I also fought back by telling them they are not God and whatever they wish me will befall them, I really cried and told God not to let my enemies laugh at me...Three weeks down the one we argued with lost her job and her house is locked upto date , the others 4 two are Sisters got their shit thrown out and moved...one lost her job as well and now I guess she knows what it feels to be without a job that she mocked me of. God is a fair judge don't laugh at someone's state ...it would reverse to you so quick
God is wiping our tears slowly..... Kama unamshukuru mungu Nipe Hata like mbili Jamani🙏🙏🙏
Amen 🙏
Amen Lavie nikoroche
Ameen
Amen
The only gospel artist I know is true and real Likes za wakenya oyeee☺️🇰🇪🇰🇪
Oyeeeeee
@@malikialindapeter3882 very true
Wanyamazishe bwana!
Oyeee
🇰🇪
Wimbo huu n mm niliimbiwa nikiwa hosy everything that happened ziko hapa thank God aliwanyamazisha
My best gospel singer ever,, nakupenda sana rose
Napenda yeye sanaa
Wimbo huu wa rose muhando umeningusa kama umekungusa acha like much love from kenya
Da wimboumenigusa sana mamangu munguakubarik.
@@agnessingano9666 Amina
Hata mimi iyo nyimbo ina ni toa machozi. Na kumbika machungu
At a mm nimefulah sana mama mungu akulinde akuogezee miaka yakuishi . OK wabaya wata wazika ukiwa unaon
@@mwashasaidi5358 Amen 🙏
Jamani wapendwa tuipeleke trending hii nyimbo
Kabisa
Mara iyo iyo
kabisaaaaaaa.
Wana tiktok waingilie kati waipeleke viral .....wanaweza tena sana
Lazima iendeee hii bonge la ngoma
Nakutuma wimbo kwa maadui wote😢😢 Bwana Yesu wanyamazishe, wapofushe, wafunge midomo yao Yesu wakae mbali nami... Mungu nakutegemea wewe kunitendea muujiza to my enemies through this song 😢😢😢
Nakupenda 🌹
Amen ♥️♥️
Rose Muhando upo juu. Waliosema watoto wako wakula jeuri Yao hawakujua ni wao na watoto wao wanakula jeuri Yao.
Naomba like 100 kwaajili ya mama...kawanyamazisha🇹🇿🇹🇿
Watafunane wao kwa wao kabisaaaa
kzhead.info/sun/pNyEoMaJj5WMd58/bejne.html
I cried watching this song, Almighty God bless you Abundantly 😭😭😭😭
Aminaaa
Amen
Mwenye anatazama mara ya kwanza piga like tukisonga 💜💜💜
Mimi hapa na tayari machozi yanaririka
Mimi hapa jaman moyo una Siri kubwa Sana nimejikuta nalia na mengi🙏🙏
@@sarahpeter3592 pole Sana dada,
Ilove u so much, fumilia kwa mungu,❤🎉
jamaniiii
Jitu la mbinguni hilo sikia linavoimba kwa ujasiri wa kimbingu 😂❤❤
My dedication to all that work hard to destroy relationship
Wapi likes za mum Rose,,,waibishwe ,,laana kifo kiwe juu yao .. nakutambua sana mummy.
Wapi likes za ma'ma rose from 254
Nairobi Kenya, Mom Rose never disappoint.... Likes za Mama zikam
Locked Nairobi Kenya. Mama atambe
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦🇶🇦
That's so touching
Nani mwingine anawatch huu Wimbo 2024/02/21
Hjo
I dedicate this song to my enemies especially from my home and my work place, Mungu jionyeshe katika soko ya Kibuye uproot all demonic alters in that Market in Jesus name 🙏🙏🙏
I like it: lm blessed so much,wacha Mungu akubless
Amen
Mungu akubariki mama Tunakupenda hapa Mozambique 😭😭😭
God bless you and your family 💗
This makes me cry 😭 Congrats auntie Rose u have always been my favorite since i was a young girl ,can we get 4 likes for her Thanks for the likes be blessed everyone 😊❤️
Me too
😭😭😭😭😭
Congrats Rose nice song I like your songs ever
Same tooo
Uko sawa
Muhando she is my favourite singer I love he with all my heart
Mungu wanyamazishe adui zangu wote wafarakane wao kwa wao Watafutane wao kwa wao Wagombane wao kwa wao Amen
Ameen 🤲
Nipee likes za mama rose muhando from Kenya ,😭😭😭😭
Tuko ndani
Tukooo
Atuwezi kosa kua ndani
Tuko ndani
Nayunayu ndani ndani kabisa
Mimi ni mslim lkn nyimbo imeniliza kwakweli na wakristo mna umoja sana mubarikiwe sana kwa mshikamano wenu
Ubarikiwe mama
Sifa kwa yesu
Iv ww upo wap jaman mpak apo nime kupend
Asante YESU kwa kukuponya
Amen
Dada Rose waambie wasikie Mungu akubaliki sana.
Kiukweli Mimi huu wimbo unanibariki Sana. Mungu akubariki katika utume wako Dada Amina 🙏🙏🙏
Who's watching from Kenya 🇰🇪 ❤️
🙌🙏
here iam mercy
Niko hapa from rongai karen
Me
Me here
Unaesoma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️ dada rose ubarikiwe milele🤝
Amen
Amen
Na asamehe wakosaji wake na kuwatakia Mema. Barikiwa
@@bensonmachora8698 kabizaa
Amen
I'm currently passing through the same thing may God continue surprising my enemies in the name of Jesus Christ
Wimbo huu wanikumbusha mambo mingi in this life
Queen of gospel rose muhando She is a Lioness for sure. Much love from Kenya 🇰🇪+254💪🏿💪🏿💪🏿 Piga like tukiendelea 👍
Good gospel
Afearles queen
Peter waweru she's a strong woman I love her so much
kzhead.info/sun/pNyEoMaJj5WMd58/bejne.html
Amen washanyamazishwa wapi like za mama rose muhando!!!!!!!!
🙏
I dedicate this song to all my enemies may God deal with my enemies mercilessly wajue Kuna Mungu mbinguni, na vle mnajua kujifichanisha na Mungu, may he strike you.
My end year song....🎉🎉#Wanyamazishe Bwana.. Season of testimony ❤❤❤
Wooooi I shade tears coz of this songs, no weapons form against you Rosy shall prosper. Nimesikia 10 times, Blood of Jesus protect you muhondo wherever you are. Wapi likes zake
Waaaah! Huu wimbo unanitonesha machozi😭😭😭😭. Rose muhando utaishi na waliokuchimbia kaburi watazikwa mbele yako. Mimi mkenya na napenda nyimbo zako. Wapi likes za Dada Rose jamani
All God is wonderful watching you shed tears am from Kenya may God bless you Rose
Kabisa
Ameeen Mungu azidi kukulinda na akupe MAISHA marefuu
Eee Mungu wanyamazishe Bwana wanaofatilia familia yetu,wapofushe macho Yao Eeee Bwana
Those who are on silent battles to my family..muangaikee!!Wanyamazishe Bwana,wafunge mdomoo Yesu
Amen and amen am violet Moraa kutoka Kenya
Hongera sana Dada Rose kweli ww ni mpakaliwa mafuta.wanaokubali dada Rose Muhando likes zenu hapa.
@Dives Niko huku kwa reply 🤩
Great
Cant get enough
Yan mm na mpenda huyu dada mungu Bado yupo nae mpakamwisho na azidi kuku pa nguvu ili aduwi zake waeibike
Kweli
Wanyamazishe bwana waliotangulia kutangaza kifo changu kabla sijafa😢🙏
Nakupenda da rose Mungu akutunze kazi ya Bwana isonge mbele
Wanyamazishwe kabisa I am blessed with the song love from Kenya 🇰🇪🇰🇪❤
Mungu amewanyamaziza kapsa, sifa na utukufu kwake jehova❤
Mkenya damu.Hongera sna madam rose..wimbo unahisia Kali. unatoa machozi kw kwel..naomba like ata 2 tu ntashukuru
Who else is waiting for Kenya Ulindwe official video? 😊
Eagerly waiting
Mimi
@@japhetlagat1544 I
Me too
@rose muhando we are also waiting for this video 😍❤❤❤
Nampenda sana hadi wakati naishiwa ninapo sikiza wimbo wake mama Rose nafarijika
Napenda hii wimbo sana this year dear lord nimepitia sana
Wimbo unanipa tumaini kuwa katika mateso yangu yupo Yesu ,haijarishi nimerudi nyuma bwana ataniinua tana
Amina lipo tumain jipya ukimtumain yeye
Kabisa hata mm pia ivyo ivyo
Kwakweli nimebadizikaa
A nice song rose,,we need God in our life. . Tumpee likes tukisonga..Love from Kenyans
Rosi muhando ni jembe la yesu Mungu ambariki amina
Napenda sana nyimbo zaco unt Rose Muhando.niko Moçambique
Ameeeeen!!!!! 🙏🙏🙏🙏🙏Wafunge midomo yesu be blessed rose muhando wapy like za wanagulf
Dada wa nguvu Rose Muhando' wanyamazishe kabisa' wapi likes ya Rosy!
I love this song
I'm being attacked by my enemies in all I do God keep me strong so as my daughter enjoys life in future
Aki huu wimbo unaniguza sana rose muhando keep up the good work mungu n mwingi wa Rehema.
What a prayer! I can relate with this song / prayer. Been rejected by family for years. Many said am cursed, will never amount to anything, never get married etc. Took myself through college, got a job, got married, worked abroad precisely USA. Later became a US citizen! Thoroughly born again & headed to heaven. The LORD prepared a table for me in front of my enemies. That's the God I serve. Sing Rose, your life is in His hands!
🙏
Wow💞
😲 wanyamazixhe bwana,,maadui wang
Wanyamazishe bwana 🙏 Amen
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nimetazama zaidi ya mara 20 huu wimbo umebeba ujumbe mzito sana 🔥🔥🔥🔥
Ako na bitterness aki
Kama mm nimeurudia hata siishiwi hamasa ya kuendelee
kzhead.info/sun/pNyEoMaJj5WMd58/bejne.html.
Ila Rose Muhando una sauti flani unique umeimba vizuri huu wimbo. Melody nzuri. Maneno pia mazuri. Ktk zaburi Daudi aliandika adui zake njia yao iwe utelezi malaika wa Bwana akiwafuatia
I dedicate this song to my viliage people,,wenye walienda kwetu wakachoma nyumba zetu zote na kila ktu ,,nyumba yenye my father na my sisters walitolea jasho ,,after wamepata mtu ameuliwa wakasema ni my brother ,kumbe ilkuwa to wivu ,,mlituchomea kila ktu,,mlituwacha bila ktu but we thank God for everything tuko hai
Kenyans tupo hapa gonga like
Wacha mungu zidi kuitwa mungu
Wanyamasishe bwana,wafunge midomo yesu wafungishe macho Yao wasinione wakae mbali nami,Amen wapi likes za mama rose tukisonga....May the lord bless you mumy 💕
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzhead.info/sun/bNmDiaWsf3eOhXA/bejne.html God bless you🙏🙏🙏🙏
Inafundisha, inagusa jamii
Amen 🙏
God bless you mom. I love your songs so much.
Wanyazishe bwana wanao nidhania mabaya 🙏🙏🙏
Wamesha funga midomo kabisa. God bless you mama 🙏🙏🇰🇪🇺🇲
Sure
@@immaculatemwangi6784 wassup immaculate
Mungu wanyamazisha maadui wangu wasongeshe mbali na maisha yangu katika jina la yesu, Kenya tunawapenda sana ndugu zetu wantanzania mbarikiwe
Mungu wangu wanyamazisha kabisa
@@tegerezapatience9580 Amina
Tunawapenda pia
@@mgendimussa7224 shukran
Waau!! Wimbo huu uko na funzo kwa wenenye chuki ubarikiwe sana mum ❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏
🙏🙏mungu ni mwenye huruma ❤️❤️❤️
wimboo huu hunitoa machozi kila ninapo usikiliza, acha bwana atupiganie siku zote kongole mama rose na watabaki wakishuhudia ukizidi kufanikiwa, much love kutoka kwangu
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻kzhead.info/sun/bNmDiaWsf3eOhXA/bejne.html God bless you🙏🙏🙏🙏🙏🙏
This hit will got 10 million veiws na zaidi mungu ni nani mama wetu Rose hajawai tuhaibisha akiamua kusimama kuongea na mataifa kupitia kuimba nyimbo na kusema uzuri wa yesu gonga like tukienda
It's now 20 million ur prophecy was right
Mungu naomba uwanyamazishe maadui wote ili waone mafanikio yangu kwako in Jesus name
Mungu akuzidishie mahitaji ya moyo wako