Music Video by Nandy featuring Alikiba performing "Dah!" After an outstanding performance of the Original version "dah" by the african princess that has gained maximum attention from the music fans, now "DAH!" with King Vocals (Alikiba) to spice up this beautiful tune have been brought to life, with the lyrics paiting an artistic love expression from both artists with both artists flexing and showcasing vocal gymnastic abilities through out the song. Enjoy this tune and uplift your musical experience today (c) 2024 The African Princess, The Music Video was shot in Kisarawe,Tanzania, Directed by Folex.
Stream/Download:ziiki.media/Dah!(Ft.Alikiba)-...
All Digital Profile Link:linktr.ee/officialnandy
Listen to Nandy on Digital Streaming:
BoomPlay: www.boomplay.com/share/artist...
Audiomack : audiomack.com/nandy
Apple Music: itunes.apple.com/us/artist/nandy
Spotify: open.spotify.com/artist/nandy
Dezeer: www.deezer.com/us/artist/nandy
Connect with Nandy on Social Media:
Instagram: / officialnandy
Twitter: / officialnandy
Facebook: / officialnandy
TikTok:www.tiktok.com/nandytz
Connect with Alikiba on Social Media:
Instagram: / officialalikiba
Facebook: / officialalikiba
Twitter: / officialalikiba
Snapchat: / officialalikiba
TikTok: / officialalikiba
+For More Information Booking Nandy
Email:Officialnandytz@gmail.com
+For More Information Booking Alikiba:
Contact:emailalikiba@gmail.com
©2024 The African Princess.All rights reserved.
#Nandy #Alikiba #Dah
Kama umeangali video mara nyingi kama mm like hapa tujuane ☝
Niko hapa nairudia rudia😊 The song is Songing
Ndio kufika tu
Niko hapa video ni nzuri hatari nimerudia mbaka mb zimebak chache😂😂😂
@@jacquekalolo6639 an we acha tu mpk mb zangu za buku zimekata😂
Ndo kufika🎉
. Nimerudi kuedit comment nasemaje hii nyimbo nataka ikae trending mpaka pasaka gonga like team Nandy ambao mnakubali kipaji chake bila kicki. ..plus Alikiba ❤🎉🎉🎉 Lets go Kenyans, Tanzanian, Ugandan, Rwabda , Burubdi , word wide..na tema Usher fromUSA 😊😊😊😂😂.Haijawai tokea tanzania nzima nyimbo ikawr trending siku 9 ata huyo daimond hajawai fika. Tuache utean Nandy na Alikiba wametoa over hit ......hii nyimbo ni kana essence ya Wizkid kaen kwa kutukia na promo ya Nandy ya kawaida sanaaaa hana mambo mengi nyimbo inatereza tu 🎉🎉🎉❤. Gonga like hapa wenye kushangazwa na hii hit
Dodo ya alikiba ili kaa trending week tatu
Lakin Daimond hakuwa ametoa myimbo na kibaya Zaid Daimond alidhan mapoz ni hit zaid ya Dah so hajaamini😊@@chelseafcinafrica4313
Na hii itakaa trend mwez mzima
Tutashinda humu humu
Harmonize single again no 1 trending miezi Zaid ya 3
tuendeleee kuchochea kuni hii nyimbo #1trending hadi august
Nakukubalu
From kenya every day every time this my music na sichoki bana❤
Huu wimbo umekuwa wimbo wa taifa kama umeuelewa gonga like twende
Kimataifa 🎉
Unyama sana
Alikiba anaing'alisha sana Bongo fleva anauwezo wakubadiri sauti,mpeni likes
nomaaa
Namkubali sana nandy na kiba wamenikumbusha mbaliiisana
Hatareeee 🔥🔥💯
Huyu ni mwamba
❤❤
Imetumaliza Kenya hiyo nyimbo tunakupa maua Yako mummy love you ❤🎉
Mara yakwanza nacomment ngoma kali dada angu unajua ujawa kukosea kabisa sauti yako2 me hoi
Kwa tuliyorejea huu wimbo Leo tarehe 18/2/2024 like hapa tujuwane
Aniii na leo tena tar 10
Uhakiki tunawachapa
Njoo na leo Tarehe 10/2/2024
Me nimerud hapa tar 10 tena
tarehe 11 Leo 💥💥
African princess umetisha ddaa angu
I was playing this song so loud until my neighbour called the police. When the police arrived, they called the prosecutors, the prosecutor came and then he called the judge, when the judge came, he sentenced the neighbour for trying to kill the vibe🔥🕺🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Magnifique ❤
Katika siku zote leo ndio nimeiskiliza kwa umakini zaidi, DAAH hii ngoma kali sana Daah!!..
Asa hizo like huwa mnapataje asee basi hata moja tu
umepta
Just gave you one🥰
Nimerudi kusikiliza tena kwa mara ya 270...hii kolabo ni hatari sana...DAH!
Global wambea kinoma
😂😂😂
Day!
Umbea
hatari
Kiba for real....haki nawapenda bure nandy na Ali Kina sauti nzuri ajaaab iko ❤
King na African Princes wakipatana....dah ☑️☑️☑️
NI fire 🔥🔥😂
Kma umerudia hiu nyumbo zaidi ya mala moja gonga like hata moja
Niko hapa mara ya 37
Niko hapa
❤🎉
Kama unapenda huu wimbo uwe trending hadi mwezi wa tatu gonga like tusepe nao
pmj sn
Pamoja sana
Twendeni
@@user-xk7sz2cl4c kuna zawadi inakuja tusimuangushe
kzhead.info/sun/lMOapbqgh3x6lHA/bejne.htmlfeature=shared
Watching from Kenya lazima majirani walijue hii wimbo we love our neighbors Tz
Dada wapi unaishi u?
Nice❤❤❤❤❤❤❤❤
Mwanza
Swahili is the sweetest language in Africa kama unaniunga mkono gonga like 💪💪💪
Kama unamkubali nandy gonga like hpa
Hahahah
Kwa wale ambao kila baada ya dkika 30 wanarudi kuangalia huu wimbo kama bado upo namba moja hapa KZhead weka like Yako hapa
2:36 😂
Miaka yte
Nandy na kiba your my favourite artist love nyingi from Mozambique
Naku kubali king courage je suis congolais
Song of the year kama umeangaliya daah mara 30 mama mimi gonga like 👉
Mimi mara 31
Hata zdidi
😂❤🎉 nashukulu wote mlio nipa like 50 naombeni tena like 50😢🎉😂
I don't understand any word but I could feel the song in my heart and soul, my heart understands everything. This is music ❤❤❤
Tuliokuja baada ya kuona remix tulike hapa
Nipo hapa
Nimerudi tena maana bonge la nyimbo hili king kaua tearm king gonga like twenzetu
Kila comment hapa haikosi like hata mimi nipeni like mia nirudi Tena....❤
umepta
Bado moja,jiandae kurudi
🎉🎉
MKO Na upendo sana
Nandy ujue sijalala hadi saiv nazurura utube kuitafuta dah remix2 na siion
African princes moto alikiba astaafu
Ngoma kali sana hiii kama umekuja kuiangakia zaidi ya mara moja gonga like apa
pmj sn
@@user-ty5io2ec9u 🤝
Hiii nyimbo ni kiboko ya mapozi, tuendelee kuisukuma kwenye Trend mpaka mwambino aombe poo.😂😂😂😂
@@johnsonjoseph5382 😂😂😂🙌🙌🙌
Nimeangalia mara nyingi mno😅
Kama umekuja tena leo tena kuangalia Dah kwenye siku ya wapendanao Valentines day gonga like tuendelee kuinjoy na kuongezeka viewers tufike M5 ❤❤❤
Kama umetoka fb kuja kuconfirm kama ni no 1# piga like❤❤❤❤
Unyamaaaaaaaaa yebhabhaaaaaaaaaa dah nilichelewaaaa Jimbo tam sanaaaaaa nomaaaa
Bonge la song ahsee kwa mwaka huu 2024 coment yangu asiguse Mtu❤
Nimegusa sasa njoo nipige
😂😂😂😂
Nilikuwa napita TU ata Sina mda jmn🤭🤭🤭
Nimefurahi sasa,kwani unatakaje🤣🤣
😂😂
When Princess and King meet its always wonders.......nice music. Dah........balaa hii. Kenya tumekubali
Kweli kabisa
Haswaaa
nomaaa
The second #Nibakishiye#🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥🔥🔥
Silent follower, hii imenimaliza, vunja ukimya.. I have to leave my comment here ❤
Kama umerudia zaidi ya mara Tano video 😮kama Mimi usisahau kugonga like hapa #valentine #@highlights
Ata nimechelewa ila nipeni like ili tuzidi kuangusha matikiti aya like apa😊😊
😂😂😂😂😂mm ndo kila mda naiangalia . Yan ngoma kiwa trending imenipa amani ...tusikate tamaaaa
@@anicyaedward6257 😂😂😂
Matikiti yanaoza huko chini
Matikiti ya mabango nchi nzima
Msege wewe matikiti namba moja
Nandy una nyota na kiba wew kazi ukitoa na Aliy huwa viewers wanakuwa wengi kwa mda mfupi😊😊
Mimi ningekua #Alikiba #Bilnasi angekua historia kwa #Nandy Ahadi iyo ☝️
King ni mmoja siku zote
kwel kabs
It's the melody and voice for me😊
Precisely
Jaman naomba king aludi namba 1
Ali kiba ww ndo number 1 in bonge flava my bro 🎉🎉🎉🎉
Maraa hadi simba awe paka....nipeni likes basi
Valentine song ❤️
nomaaa
Hakuna nyingine, matikiti ya promo yaende
kabisa @@KarisBaya
Yaani kabisa
Wasopenda Bure andaeni mandamano kwake kivuli jua tunalitimiza agano😊😊😊😊😊🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Dah ❤🎉 Nandy love this❤😢dah
Mfalme na Bintiye...Dah kiukweli imetanda hii Nairobi Kenya
Nyimbo zetu tamu bwana ❤
Wimbo wangu pendwaaaa
Ali kiba is the king of Music ,the voice is always pure ...Good combination ❤with Nandy
Kali sana!!! Much love from kenya
I feel this song...aiiiiii❤❤❤❤❤
Me nimeangalia ya mond nikaamua kuja uku like 👍 sangu please
Hata mm nimetoka huko sio mda😊
Nyimbo ipo powa San yan 🔝
hata mimi nimekimbiako
We nae mbeya😂😂😂😂😂😂 ila hata Mimi aseee huku nimekaaa stoki
Excellent performance ❤️❤️❤️❤️❤️🇲🇿
❤ daaaaah is big big big big favorite song
Kama uko hapa kuangalia kama bado tuko number 1 piga like ❤
😂😂
@@zeifaMohammed bado tuko juu
👍
Nic
Wapi wale team trending 😂😂😂😂😂kanyageni kubwa kubwa .......
Nice
Naukubali Sana huu wimbo ❤❤❤
Nyimbo nzuri melody tamu
Walioelewa hii nyimbo na kuuona unyama wa kiba naomba like hapaaa
Namimi like japo tatu 😅
@@Ammarloliso 😂😂😂😂 Aya nimelike baby
Kwa kweli ni unyama
Hatali
@@ayeshathegenius umeona eeeh🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️
Nandy amshukuru alikiba kwaku fanya wimbo wake uwe bomba
kwel kabs
Kabisa
🎉🎉❤alikiba ni hatarii
Kiba na nandy wamefunika tz
Gonga like hapaaa kama unaikubal hili goma
Vlde
Nandy hii imetumaliza nayo dahh alikiba umepeperusha bendera juu
Mzima
Kwa moyo uko mchumba,, Hadi kwenye damuuuu,,uuuui❤❤❤❤❤
Song iko sawa from kenya❤
Ali Kiba ❤..akiyumba nayumba..such voice..wewe ni noma sana....WIMBO MZURI
Motooo
Ata hakujui ila unayumba yey akiyumba😂😂😂😂
Jamani hii Ngoma iliniponya magonjwa ambayo nilikuwa nayo mda mrefu ❤❤❤❤
Dah
😂😂🎉🎉🎉
😂😂😂
Dawa kamili ya msongo wa mawazo na vidonda vya tumbo
😂😂😂😂😂😂 hatariii mbavu zangu mimi
Mkifa mzikwe na mziki wenu
#nimerudia tena leo mara1000 ...
Ngoja nishee nipeleke kwenye group la watu 200 wote waje kuangalia na wote wacomment❤❤❤😊😊😊😊😊
pmj sn
Share kwa wingi
Allihmullihah bado No1 on trending bila hata kulipoa sponsored. Wapi Yule jamaa aliyejitapa atashika namba moja Hadi July 2024
Amerara mbere na matikiti yake
Hatariii
Mziki tamu kweli kweli.
Thee 2024 anthem 🎉👏🏽
J kiff le chanson , courage alikiba depuis 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kwa nyimbo za mapenzi Simba atasubiri sana, king Kiba anajua sana🔥🔥🔥🙌
kwel kabs
Simba kukaa jangwani angari nyikani Kuna msosi siajabu hiyo
Upo sahihi king ni habari nyingine
Makini kk
Mwambieni simba marara King ni mmoja tu kingkiba
😊😊😊😊😊muziki mzuri
NANI KARUDI KUANGALIA KAMA BADO IKO NO 1 TRENDING... ?? na akasoma na comment..??
Tupooo
tupo pmj
Tupo
Tupo wengi sana
Tupo wengi
this song kiukweli aichoshi Kuna melody ya tofauti kabisa na wao, like nyingi Kwa kiba ameuwa
These are my favourite bongo artistes sasa doing collabo i have just shared tears of happiness. Big up tu sana from 254
Kusema kweli nandy anaride bodaboda jinsi anyoendesha muziki pongezi sana driver wetu wa nyimbo za utaalamu mkubwa afrika mzima🎉
Ngonga like kama hii nyimbo umeirudia mara nyingi....more love from kenya 🇰🇪 💖 nandy....always chemistry between you 2 never disappoints
the song is songing walai😂😂😅
Kabisa, ina ladha isiyoisha
@@AggieJack30 hahaha 🤣
Umetisha 1trending mpaka now na ngoma zote ziliz toka atar Aya nipen lk zang
pmj sn
❤napenda mapenzi yenu
Likes za king kiba 👑👑👑 ziangushwe please ❤❤❤
Nandy is glowing 😍. Mix ya Nandy na King Kiba toooop yaani Daaaah 🔥🔥. Much love from +254 ❤❤
I love Nandy she is a Natural❤❤
King 👑 😂😂😂😂 bado ako trending mapoz ya mondi ni number mbili ,,, king alikuwa ametulia
Here kenya we respect you❤❤❤❤❤
Hongeer sana mumy kwa kipaji ulichojaliwaa na molaa pambanaa haswaa mama kenay
💥💥
💥💥💥💥
Wangapi wamefunga like button hata kabla ya kuutazana wimbo kuskia verse ha Ali Kiba ❤❤❤❤
Msisahau king Kiba huwezi lingana na Simba la masimba dangote.
Kiukwer Nand ingoma na arikiba wameifanya vizur sana wapewe sifa zao
nyashiski nandy na alikiba kwa set mmoja wadauu mnaonaje