JACOBO MUNGU HAJAGAIL TUSUBILI TU TAREHE

2024 ж. 6 Мам.
2 241 Рет қаралды

KARIBUNI WOTE KWENYE GROUP LA MAOMBI LIVE..
MAOMBI YA WHAT'S APP MEETING GROUP HILI AU MAOMBI HAYA YANAFANYIKA SIKU YA JUMAMOS PEKEE...
GROUP HILI LIMEANDALIWA KWAAJILI YA MAOMBI ONLINE TU NA KIONGOZI (ADMIN) PEKEE NDIO ATATUMA UJUMBE NA KUFUNGUA VOICE NOTE
________________________
KUSUDI LA WHAT'S APP MEETING, NI KUWAUNGANISHA WALIOMBALI. NA WAHITAJI WA IBADA ZA UNYAKUO,
Siku ya jumatano saa moja na nusu usiku, ibada fupi na mkutano. Jumamosi ibada live saa tatu asubuhi
chat.whatsapp.com/GOSLtd6fJxo...
LINK NI PUBLIC...
MICHANGO NA SADAKA. TUMIA NAMBA HIZI
+255686-448880 / +255765- 943 978
PROPHET MOSES RETURN AGAIN FROM TANZANIA
________________________________
GOD ACCEPTS YOU SO MUCH FOR RECEIVING THIS MESSAGE. KEEP SEARCHING MY BOOKS AND THERE IS A CONTINUING TESTIMONY FROM AWAY ABOUT THE KINGDOM OF GOD;
PROPHET BONIFACE VICTOR, IS A PROPHET FROM TANZANIA WHO RECEIVED THE GRACE OF GOD IN 2020. AND WAS TAKEN TO HEAVEN MORE THAN NINETY TIMES, AND STUDYED IN THE HEAVENLY BIBLE COLLEGE.
WHILE HE DOES DIFFERENT WORKS IN HEAVEN. INCLUDING CARRYING PEOPLE'S BLESSINGS AND BRINGING THEM TO THE WORLD. THEN HE WAS GIVEN A MESSAGE FROM THE LORD, REGARDING HIS RETURN. THE SECOND RETURN OF JESUS. IN THE YEAR 2666. AND THE END OF THE WORLD IN THE YEAR 2673.21
(DANIEL-12:6-7/11-12)
WITNESSING THE OPENING OF THE FOURTH SEAL IN 2021. {REVELATION-6:7-8} HE WAS GIVEN TO KNOW THE TIME OF THE END AND WARNINGS TO THE CHURCH.
THE PROPHET WHO ATE THE ROLL OF THE WORLD
THE PROPHET WHO FIGHTED THE SEVEN GODS OF THIS WORLD. IE THE DRAGON OF THE WORLD.
HE IS AN APOSTLE WHO SIT IN THE BELLY OF DEATH FOR FIVE DAYS AND OVERCOME DEATH AND HELL FOR TWO THOUSAND AND TWENTY TWO YEARS. AND GIVEN THE FLAG OF THE COUNTRY OF TANZANIA IN HEAVEN, AS A GIFT,
THE PROPHET WAS GIVEN A NEW NAME WHICH NO ONE KNEW,
THE PROPHET WAS GIVEN THE MORNING STAR. AFTER WINNING ALL. REVELATION-2; 17
THIS IS THE PROPHET BONIFACE IS AN OLD PROPHET, HE RETURNED TO THE WORLD FOR THE SECOND TIME WITH A SECRET NAME. AND ESTABLISHING THE CHURCH OF RAPTURE SERVICE TANZANIA.
THIS BOOK IS BELIEVED AND TRUE, IN EVERYTHING YOU WILL HEAR AND READ IN THIS BOOK. BECAUSE IT CAME FROM HEAVEN BY THE HAND OF GOD AND WAS PLANNED FOR THE PROPHET BONIFACE. THE PROPHET BONIFACE WAS ALSO GIVEN THE BOOK OF REVELATION AS A GIFT FROM HEAVEN; JULY -2020
THE PROPHET BONIFACE GETS A REWARD IN HEAVEN, A VICTORY MEDAL, ON MAY 17, 2023 AFTER BEING THE WINNER OF ALL. amen
THIS IS PROPHET BONIFACE IS AN OLD PROPHET,
THE ONE WHO RETURNED TO THE WORLD FOR THE SECOND TIME WITH A SECRET NAME IS THE PROPHET MUSA. WHO CAME THE SECOND TIME AND YOU ARE READING HIS MESSAGE, THIS. HIS NAME IS BONIFACE VICTOR.
DEUTELONOMY -34:10-12
10 Nor has a prophet risen in Israel like Moses, whom the Lord knew face to face;
11 in all the signs and all the wonders, which the LORD sent him to do in the land of Egypt, to Pharaoh, and to all his servants, and to all his land;
12 and in the hand of all power, again in all the great terror, which Moses did in the eyes of all Israel.
AND NOW PROPHET MOSES IS BACK AGAIN, TALKING TO GOD FACE TO FACE FROM TANZANIA.
MOSES IS THE PROPHET OF THE LAST TESTAMENT FROM TANZANIA 2666. HIS NAME IS BONIFACE VICTOR.
follow the book, get more information.
KZhead- UNYAKUO- TV
what's app +255686-44 88 80
Prophet of God - Boniface victor

Пікірлер
  • Amina Mtumishi wa MUNGU Nabii Musa

    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi12 күн бұрын
  • Asante Musa wa Tongareni

    @drnow1528@drnow152810 күн бұрын
  • Hubili injili ya milele ya ujio wa yesu kristo mala ya pili mm nilikuambia wewe ninabii wa uongo yesu anakuja kuangamiza dunia nzima iyo yakuangamiza miji kwa miji haipo tena mpango wake nikujakuichoma moto Dunianzima MUNGU anapiga watu wake mihuri Ufunuo 7:3 nashetani anapiga chapa watu wake ufunuo 13:16 Yaani wewe injili unayo ubili siyo sahii unataka watu waje wakusujudie ndio maana unawataja gwajima,watu maarufu mala kikwete atakufa ili wawe na hofu wakupatie pesa injili siyo hyo warumi 1:16

    @komandowainjiliyayesu@komandowainjiliyayesu12 күн бұрын
  • We kila siku unaongeza siku tu...HAKUNA NABII HAPO

    @user-ve8ix8cs8c@user-ve8ix8cs8c12 күн бұрын
  • Hivi Mungu hawezi kusamehe Jani ni kitu chakusema watu watubu dhambi

    @doreenhallai2060@doreenhallai206012 күн бұрын
  • Wachawi hamtashinda ktk jina la Yesu

    @josephkadeghe4720@josephkadeghe472012 күн бұрын
  • Ulisema ushapiga mhuri hakuana wa kuomba dua ili kubadilisha adhabu yaani DAR kuangamia sasa huyo unampost wa nini sasa?, au umefuta mhuri??

    @noeleliasi8401@noeleliasi84018 күн бұрын
  • Hii roho siyo,nilishasema.Hamna kitu hapo.Hakuna cha Dar kuangamia.Hii roho SIYO.Kuna nchi zinapinga Ukristo wazi wazi,lakin Mungu haangamizi,Sembuse Dar ambamo ndani yake kuna Watakatifu wake.

    @chrispineacademicus5784@chrispineacademicus578412 күн бұрын
    • Kinacho kufanya upinge sababu hakuna mtikisiko ulio wai tetemesha tz,usikariri ,dakika 90 uwanjani ,alam inalia ,taa nyekundu imewaka kaka,jililie wewe sio nchi zingine sijui zinapinga Ukristo,Mungu ana sababu na taifa hili ,Ina kuja siku iliyo Mbaya ,,Kama upo dar utatamani siku zirudi Nyuma ,mpendwa

      @janethmwihumbo1289@janethmwihumbo128912 күн бұрын
    • @@janethmwihumbo1289 ukitakanujue huyu nabii wenu ni wa uongo,ni pale anapojifanya anajua siku ya mwisho mwaka gani,Wakati biblia inasema hakuna ajuaye siku wala saa.Zinduka dada,hata Yesu hajui ila Baba tu.sasa Musa wa tongaleni ,je ni mkuu kuliko Yesu???

      @chrispineacademicus5784@chrispineacademicus578412 күн бұрын
    • Nika nifupi tu ingia magotini mbeya Tunduma wameomba vile vitabu Kama mzingatiaji hawez andika mtu bila roho wake Mungu hesabu zimejieleza vizuri kabisa shetani Hana uwezo wakuwafungua watu kiasi kile ,kitabu Cha ufunuo kilifungwa,mda wa kufunguliwa umefika na Mungu amejua wapo ambao watakuwa wa gumu kuelewa ili wamuelewe mtumishi wake kupitia mitikisiko,na ndomana Nabii huyu alisema hata Yesu kumuelewa ilichukua miaka elfu moja miambili tisini,,ametumwa kumuandalia Kristo Mfalme kanisa lakuondoka nalo,ingia kwenye maombi muulize Mungu atakujibu

      @janethmwihumbo1289@janethmwihumbo128912 күн бұрын
    • @@janethmwihumbo1289 Neno lolote linalopongana na Neno la Mungu,hilo siyo dada!Shetani anauwezo wa kuwateka umati wa watu vizuri tu,kwa hiyo mim sishangai kuona watu wanaitikia hivyo.Ila hiyo roho SIYO

      @chrispineacademicus5784@chrispineacademicus578412 күн бұрын
    • Mungu ataendelea kumthibitasha,,Mtu aliye soma chuo Cha biblia,Mbinguni,kapewa Agano la Unyakuo na kuja kwa Kristo,kashuhudia muhuri wa nne ukifunguliwa2021 kalishwa gombo lachuo,mana iliyo fichwa na jina jipya,kashinda mauti na kuzimu,kavunja Miungu Saba ya dunia,kapitia hatua Saba za Ki Mungu,hatua Saba za kibinadamu,ameshuhudia tarumbeta ya tatu ikipigwa na juma latatu,kapewa kitabu cha kuja kwa Kristo na Agano la Mwisho,kufungua kitabu Cha ufunuo::ila ipo siku utajua

      @janethmwihumbo1289@janethmwihumbo128912 күн бұрын
  • Ngoja tuone!

    @ramadhaniathumani1025@ramadhaniathumani102512 күн бұрын
  • NAWEWE UNACHANGIA NABII ZA MJINGA HUYO YAANI WEWE VICTOR NENSA UTUBU HAKUNA DAR ESS SALAAM KUANGAMIZWA WEWE JIDANGANYE NDIYO UTAJUA MUNGU ANAWATOTO WAKE DA

    @ryobanchagwa2499@ryobanchagwa249911 күн бұрын
  • Uongo mtupu Yani mbaka December Dar haiangamii

    @suziemichael4338@suziemichael433811 күн бұрын
  • 😂😂😂😂😂😂NI UONGO BHANA

    @user-ve8ix8cs8c@user-ve8ix8cs8c12 күн бұрын
  • Nimeanza kumtilia shaka huyu jamaa.

    @deogratiashaule8958@deogratiashaule895812 күн бұрын
  • Uongo mtupu,

    @josephkadeghe4720@josephkadeghe472012 күн бұрын
  • 😂😂 bado mita Mia tatu?

    @brownmtofole@brownmtofole12 күн бұрын
  • Nipo nje ya mada ila naombeni ufafanuzi,,mathayo ,ombeni kukimbia kwenu kusiwe siku ya sabato.maana yake nini ?

    @ivomhagama9796@ivomhagama979610 күн бұрын
    • Siaitakiwi kufanya kazi siku ya sabato kwaiyo kukimbiani kazi

      @Ruiyakibwana-ld2qj@Ruiyakibwana-ld2qj8 күн бұрын
  • Hamna kitu hapo unachekesha watu wasiocheka nabii Musa wee omba bhana

    @asteriashios1852@asteriashios185212 күн бұрын
  • Badala ya kuomba roho ziokolewe nyie mko busy mnashangilia uharibifu, hio roho imetoka wapi au mnataka muonekane ninyi watakatifu sana

    @prince.eric_msemwa9732@prince.eric_msemwa973212 күн бұрын
    • Bado hujasema

      @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi12 күн бұрын
    • Hzo habar kamulize Nuhu, au Ibrahim kwa sodoma na gomora kwa nn hawakuomba roho za watu zikaokolewa🤔

      @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi11 күн бұрын
  • Mi nakupa hata mwaka mzima huu mpaka 2025,Hakuna maafuriko. Hayo.Maana hii roho siyo kabisa.

    @chrispineacademicus5784@chrispineacademicus578412 күн бұрын
    • 🙌🙌🙌🙌

      @Leeeeeeee-96@Leeeeeeee-9612 күн бұрын
  • Dar es salaam kuna watoto wachanga wamelazwa wodini, mama wajawazito wapo wenye hali mbaya, hakuna Mungu wa namna hiyo wa kuangamiza watu hivyo, Dar es salaam sio jiji lenye dhambi kuliko majiji yote duniani, kwa nini asiangamize New York huko au Rio di genero....Acheni uongo wa kutafuta chakula!!!

    @frank18112@frank1811212 күн бұрын
    • Mwanzon umeanza vizuri mwishoni umeharibu,iko hivi tz ni nchi ya Agano iliyo beba kisudi la Mungu siku za mwisho imebeba injiri ya milele,dunia Inapitia shida ndani ya miaka saba,tz ndo itapigwa kuliko nchi zingine,inasafishwa na Mungu,ndipo Mungu ashuke ktk taifa hili,baadae ndipo nchi zingine zitajua yupo Mungu ktk taifa hili

      @janethmwihumbo1289@janethmwihumbo128912 күн бұрын
    • Kawaulize sodoma na gomora kulikuwa hakuna watoto au muulize nuhu atakujibu vizuri

      @unyakuotv.1391@unyakuotv.139112 күн бұрын
    • ​@@unyakuotv.1391vipi kimbunga hidaya kwisha hbr au kuna kimbunga king kingine kinakuja na bahari...😊

      @frank18112@frank1811212 күн бұрын
    • @@unyakuotv.1391 Sawa mti wa uzima...😁 kimbunga hidaya kwisha hbr yake

      @frank18112@frank1811211 күн бұрын
    • ​@@unyakuotv.1391Mtumishi nabii musa nikweli MUNGU amekuonyesha kuwa daslam itangamia kwa hiyo unafurahia daslam kuangamia nafasi yako iko wapi Kama mjumbe wa bwana hata Kama umewambia wamekataa wewe nafasi yako iko wapi?

      @pauloadamu9492@pauloadamu949211 күн бұрын
  • hamna chochote we sio nabii na Mungu hatoiangamiza Dar yote🚮

    @OmmyConscious@OmmyConscious11 күн бұрын
KZhead