JUMA LOKOLE ATAJA SABABU YA ZUCHU KUMUACHA DIAMOND, SARAH AMEHUSIKA

2024 ж. 29 Сәу.
62 630 Рет қаралды

Пікірлер
  • Kwani walifunga ndoa mpaka waachane nyie nae zinaa axitowaacha salama

    @HanifaOman-oo4pl@HanifaOman-oo4pl16 күн бұрын
  • Huyu sister mwandishi wa habari anajuwa sana namkubali sana kazi yake anaijuwa na anaipenda. Utafika mbali sana dada angu mungu akubaliki sanaaaa

    @IsmailNassoro-yc8mt@IsmailNassoro-yc8mt15 күн бұрын
  • Hakuna Ndoa walikuwa Wanazini

    @halima23862@halima2386216 күн бұрын
  • I love you so much Juma lokole ♥️♥️♥️

    @NM-rq9dr@NM-rq9dr9 күн бұрын
  • Hii family ya diamond wanafiki wengi wao waovu

    @mohammadoman8963@mohammadoman896314 күн бұрын
  • Juma mwanangu umekuwa sana, kwa majibu ya leo

    @atupakisyemapuli8637@atupakisyemapuli863716 күн бұрын
  • Juma hapo umesema❤❤❤

    @aminaomary5567@aminaomary556716 күн бұрын
  • Mtangazaji nafurahi kukuona unavyojistiri uendelee hivyo hivyo In sha Allah

    @alimwadima254@alimwadima25413 күн бұрын
  • Yuko kazini Sarah amefanya nini kwenye back stage . First love

    @halima23862@halima2386216 күн бұрын
  • Upuuz mmoja

    @UmayyaNkya-ze3ri@UmayyaNkya-ze3ri16 күн бұрын
  • Waooogooo akuna kitu hapo

    @tusiimeroy3157@tusiimeroy315716 күн бұрын
  • Waoooongo nyinyi

    @Marry0-ce6vu@Marry0-ce6vu16 күн бұрын
  • Zuchu njo anawakulisha nyinyi WCB

    @blueberrypotatogames7950@blueberrypotatogames795015 күн бұрын
  • Kengere 😮😮

    @Dilvalovalo@Dilvalovalo16 күн бұрын
  • Wewe Lokole muongo saana. Ulisema mmeshakwenda Znz kutoa posa.

    @umfahad2609@umfahad260912 күн бұрын
  • Mnamuogopa bi Kopa ngija awachambe

    @barikiwa22@barikiwa2215 күн бұрын
  • Zuchu mabegi umekosea sn ucnge beba mabeg😂😂😂

    @rukayyaaliy9713@rukayyaaliy971316 күн бұрын
  • H ello.Zuchu anatakiwa sababu ya usanii na business siyo mapenzi .Hakuna Mapenzi yoyote .Ni biashara Zuchu ajue kuwa bila usanii Mondi atamtupilia mbali.Zuchu kazana na muziki na siyo mapenzi😮wewe siyo zaidi ya Tanasha😮

    @gracekagoma3231@gracekagoma323114 күн бұрын
  • Wifi analeta pesa kwenye company lazma abembelezwe.

    @zaitunifamao7777@zaitunifamao777716 күн бұрын
  • Puguzeni uzinifu mwamkasirisha mungu jamani mwaona kila kukicha twapigwa zichapo mara mafuriko njaa turudini kwa Allah .

    @user-xq7eo3eb4p@user-xq7eo3eb4p10 күн бұрын
  • Anakupenda hawezi kukudhalilisha

    @marianginaijuma4171@marianginaijuma417112 күн бұрын
  • Kila mtu hajakosa mtu wa historia ktk maisha yake ya uhusiano.DIAMOND yupo sawa. Km kuna mtu hana historia yoyote,,amshauri zuchu😅😅

    @lydiampayo597@lydiampayo59714 күн бұрын
  • zuchu atuliye tuna mtaka sara ❤❤❤

    @user-lp4yp2wt9c@user-lp4yp2wt9c16 күн бұрын
    • Wajinga tu ninyi zuchu enjoy na life yako na huyo sara pesa tu itampeleka mapenzi hamna njaa tu inamsumbuwa

      @mohammadoman8963@mohammadoman896316 күн бұрын
    • Wewe na nani?

      @mauwaishara7351@mauwaishara735116 күн бұрын
    • ​@@mauwaishara7351na mimi

      @harerimanaannemarie6396@harerimanaannemarie639616 күн бұрын
    • Mwalimu wako wa kiswahili hakukufundisha umoja na wingi? nimi nitoe kwenye huo upuuzi eti tunamtaka sara na nani? jifunze kuongelea nafsi yako sio nafsi za watu wengine watu wengine

      @yusternyirenda7231@yusternyirenda723116 күн бұрын
    • Mmmh ilikuwa Kiki tu hamna chochote

      @faizamohamed6993@faizamohamed699316 күн бұрын
  • Zuchu usije kujiroga ukaingia ndoa na Madi mdog wng utajuataa utakuja kufanya maamuzinusio yatarajiq mdog wng ...Fata moyo unakwambia usifate watu wanataka nn

    @user-jf7vx9nb9m@user-jf7vx9nb9m16 күн бұрын
    • Na Zuchu hajaona wanaume wote hapo Bongo ila Diamond 😂😂😂 kweli hana kazi.

      @awatifalghanim1106@awatifalghanim110616 күн бұрын
  • Mwenye pesa hatishiwi nyau.alafu wa kumuvu one yuko wap hapo pyuujj

    @righitkileo@righitkileo16 күн бұрын
  • Diamond ataoa kweli,watoto wake wote walizaliwa nje ya ndoa

    @Abu-Hamza254@Abu-Hamza25414 күн бұрын
  • Kwani alikuwa ameolewa ? Ajabu daimond anaanzaje kueshi namwanamke tangu lini . Kawaida ya mond nikupita akimaliza maana kakuchoka basi vituko vinaanza

    @user-rs1bo1ic7j@user-rs1bo1ic7j10 күн бұрын
  • Wasafi wanajua kucheza na akili za watanzani.na watanzania hawasomi hili...ni watu wasahaulifu mno ..kuanzia m9ndi zuchu sara juma esma dida hao wote wapo kwenye mipango yao..kila siku watawachezew maana watz wanapenda uzinifu..na wasafi wanajua hivo.

    @shamsahaji6202@shamsahaji620216 күн бұрын
  • Kuongea San juma mpaka unakosea zuchu anatongozwa na wanawakewengi😂😂😂😂

    @user-nc5un9wt3n@user-nc5un9wt3n16 күн бұрын
  • Hapo hamna mapenzi msitudanganye

    @esthermutabuzi4582@esthermutabuzi458216 күн бұрын
  • Niongo juma unamutetea ila ukipenda razima uwe unavumiriya mpenzii

    @fidelitekarigirwamuyangwa973@fidelitekarigirwamuyangwa97316 күн бұрын
  • Uyu mdada naitwa nani🇰🇪?

    @Abu-Hamza254@Abu-Hamza25414 күн бұрын
  • Sijawah ona zanzibar alilia kuzini kama huyo😊😊😊

    @janethndial5759@janethndial575916 күн бұрын
  • lakini zuchu siku akiamua kuachana na diamond wala hatasema ataondoka kimya kimya...jifunZe kunyamaza zuchu. omba ushauri zuchu na utulie unasema tumeachana wakati unajua wazi unampenda tulia

    @redemptajerry5446@redemptajerry544616 күн бұрын
  • Jamani jamani juma mmbeya ww kha😅

    @ElizabethWamcha@ElizabethWamcha16 күн бұрын
  • Utakuja kuumia zaidi ya hivi ..ukiingia ndan ya ndoa hapo ndo utakuja kupingwa tukio

    @user-jf7vx9nb9m@user-jf7vx9nb9m16 күн бұрын
  • Kiki tuu hizo kuna kitu kinakuja ata huyo Sara alipangwaa afike pale akumbatiwe basi mambo yaende wafanye vitu vyao

    @sofiajumaa4538@sofiajumaa453816 күн бұрын
    • Swadakta ilikuwa Kiki tu

      @faizamohamed6993@faizamohamed699316 күн бұрын
  • Mmmmmh

    @MatildaMkombachepa-bv7sw@MatildaMkombachepa-bv7sw16 күн бұрын
  • Fala zuchu lazima kwa diamond kwani zuchu hajuwi simba ni womaniser

    @ednahumazi777@ednahumazi77716 күн бұрын
  • Zuchu atarudi kwa diamond ataenda wapi mange alishasema Kinga’nga

    @anosiata8242@anosiata824216 күн бұрын
  • Zuchu anatumika tu,na anatumika sababu ya talent yake na pesa analetea wasafi

    @acybenson7922@acybenson792215 күн бұрын
  • Huyu si fatma !!!?

    @user-qd2cw3cx3u@user-qd2cw3cx3u11 күн бұрын
  • Mashemeji na mawifi daah 😂😂😂😂😂

    @aishafrancis7714@aishafrancis771416 күн бұрын
  • Kawaida ya kudhalilishwa???huyo Zuchu akili ndio amekosa

    @marianginaijuma4171@marianginaijuma417112 күн бұрын
  • Waowane tena mda umeenda jamani magomvi hayana neno

    @roudhamahmoud763@roudhamahmoud76316 күн бұрын
  • Naeende tuu anataka Cha peke yke kikowap labda kabur hhhh

    @ashaabdallah9672@ashaabdallah967216 күн бұрын
  • 😂😂😂😂😂 Eee mvunjiani vunjiane Tv😂😂😂

    @pendochimammy5013@pendochimammy501316 күн бұрын
  • Zuchu we mi rofa zaidi

    @blueberrypotatogames7950@blueberrypotatogames795015 күн бұрын
  • Samsung galaxy s9, old model

    @Mr.TTitusBlessing-wk4kp@Mr.TTitusBlessing-wk4kp16 күн бұрын
  • Jamani Zuu na Dai waacheni hao wanajuana❤❤❤ watawashitukiza wako pamoja

    @neemajames5137@neemajames513716 күн бұрын
  • Bana apo. Unsmjua tabia yake. Kubali matokeyo.

    @blueberrypotatogames7950@blueberrypotatogames795015 күн бұрын
  • Jameni mwatuchanganya bila kiki wasafi hamtoboi ng'o

    @ReubenSakwa@ReubenSakwa16 күн бұрын
  • Juma juma 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    @nzeyimanamwavita1904@nzeyimanamwavita190416 күн бұрын
  • Lokole Leo anatengeneza na jana walikua Wanacheka huko Mashamsham😏

    @nyandatesther6045@nyandatesther604516 күн бұрын
  • Ww msenge tu wote hao hawaja olewa ajekuolewa yeye

    @zainabuiddy-me7rd@zainabuiddy-me7rd16 күн бұрын
  • Juma😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    @enjobw5682@enjobw568214 күн бұрын
  • mbadilishie na hilo pochi yupo kama uzamafuta ya mawese

    @wemaMichael-fr4th@wemaMichael-fr4th16 күн бұрын
    • 😅😅😅

      @user-pw2sw1sk1b@user-pw2sw1sk1b16 күн бұрын
  • Kwa sasa hamna nyota. Mnamtumia Zuchu anawaingizia pesa.

    @blueberrypotatogames7950@blueberrypotatogames795015 күн бұрын
  • Juma unafiki sijui utaacha lini yaani clip inaonyesha kabisa km Sara kawekwa pale kwa ajili yakupanda jukwaani haya huyo mama Dangote pale alikaa wapi na Sara kahojiwa kasema kapigiwa cm aje na mara nyingi anampigia ahudhulie show zake lkn Sara huwa haendi sana punguza unafiki ww upinde

    @S__Official24@S__Official2416 күн бұрын
  • Huyu amezoea kudanga hawezi kuka na mume moja hilo wote walijua akisha jazwa mimba ya haramu ndio ataenda kwao kutulia

    @omarswaleh6082@omarswaleh608216 күн бұрын
  • Yuafungasha tena yuajiregesha cz zuchu haezi bila mond

    @mamuumamuu1871@mamuumamuu187116 күн бұрын
  • Kazi yenu n hiyo t y ujinga kila siku mwaongea kila siku mmb yasio elewek tumechoka ssi wakenya

    @ZumoAli@ZumoAli16 күн бұрын
    • 😂😂😂😂😂

      @KAGOMAtz@KAGOMAtz16 күн бұрын
    • Kama umechoka soma simu ulale!!

      @BarbaraPatience-qt9cc@BarbaraPatience-qt9cc16 күн бұрын
    • 😂😂😂kama kalazimishwa​@@BarbaraPatience-qt9cc

      @rajabdibwa6415@rajabdibwa641516 күн бұрын
    • @@BarbaraPatience-qt9cc nawewe nikati ya wazinzi😏😏😏

      @fatmafatu1128@fatmafatu112816 күн бұрын
    • ​@@fatmafatu1128unajuwaje wanaongelea uzinzi kama hauwasikilize? Unajuwa sababu wewe musikilizaji wao na watu kama wewe ndio wanataka wasikilizaji

      @svt3@svt316 күн бұрын
  • Achen upumbavu mapenz gani ushoga tu

    @barakakoi5976@barakakoi597616 күн бұрын
  • Zuchu amesema Wasafi ina entertain ma Ex, maanake nini Juma?

    @nahyialetomia9284@nahyialetomia928416 күн бұрын
  • 😂😂😂😂😂 Mtangazaji huoni aibu wewe kumuuliza Juma maswali ya kikhanithi kama hayo Zuchu kafunga virago eti….Suali kwani Diamond 💎 kamuoa Zuhura . ????? Au mnafanya zinaa ni sifa hapo Bongo kwa Watangazaji.

    @awatifalghanim1106@awatifalghanim110616 күн бұрын
  • Mnampa ujinga tuu azidi kutumika had bandama limtoke

    @khalsasalim7930@khalsasalim793016 күн бұрын
  • Bongo kwa upuuzi hamjambo

    @badmanno.1650@badmanno.165016 күн бұрын
  • Washenzi nyie kazi kuongelea uzinzi kila siku hamna vitu vya msingi

    @fatmafatu1128@fatmafatu112816 күн бұрын
    • 😂😂😂😂😂😂

      @KAGOMAtz@KAGOMAtz16 күн бұрын
    • Hawa ni ma umbwa sana wametuharibia sana nchi wana maswali mbele ya Allah

      @ramadhanyusuf2401@ramadhanyusuf240116 күн бұрын
    • Kabisa

      @KhadijaSalum-nf5mf@KhadijaSalum-nf5mf16 күн бұрын
    • Umeolewa

      @PatorankingReuben-cf4lo@PatorankingReuben-cf4lo16 күн бұрын
    • Uzinzi hq2a ndo wanaosababisha mvua na mafuriko

      @zeyanaalgheithy6561@zeyanaalgheithy656116 күн бұрын
  • Kumbe huyu mtangazaji mpemba

    @Catherine-mh8sw@Catherine-mh8sw16 күн бұрын
  • Ni kweli zuchu ni msani na simba ni msani tena simba ni mtu ambay anapendwa na kila mwana mke❤ so zuchu kama anampenda simba avumiliy kila hali yani kwasimba afunge masikiyo afunge macho mana anajipa presh buree🎉🎉❤

    @zazalareinebosslady@zazalareinebosslady16 күн бұрын
    • Mtihani mnampendea pesa tu ninyi wanawake

      @mohammadoman8963@mohammadoman896316 күн бұрын
    • Angekuwa hana pesa msingempenda na ndio maana ulimuona sara alisepa lkn kaona anapesa anajirudisha

      @mohammadoman8963@mohammadoman896316 күн бұрын
    • @@mohammadoman8963 hapan so hayingekuwa hizo pesa hatunge mfahamu simba vile vile sara karudi ila kasema hawez rudiyana naye kwasabb yuko kwenye mahusiyano yake

      @zazalareinebosslady@zazalareinebosslady16 күн бұрын
  • Juma lzm uisfie hio familia. Ht km ni uongo. Sbb ndio maboss wako. Unaogopea ugali wako. Kubwa jinga wewe.

    @umfahad2609@umfahad260912 күн бұрын
  • Diamond bado hajapata mke wote siwo .

    @husnamohamed9245@husnamohamed924513 күн бұрын
    • Kwani yeye ndio? Au hana kasoro zake?

      @umfahad2609@umfahad260912 күн бұрын
  • Anaingiza pesa nyingi WCB acha abembelezwe

    @user-hx6cl2bc1y@user-hx6cl2bc1y16 күн бұрын
    • Sana anatumika sana zuchu

      @acybenson7922@acybenson792215 күн бұрын
  • 😂😂😂😂😂😂ludisha mabegi zuchu

    @DevotaIjumba@DevotaIjumba16 күн бұрын
  • Na nimeshinda nikisema Sarah sio chanzo cha Zuuh kutoka..... Hao waligombana tu. Hamkumbuki Diamond akiwa show akisema hajui kama ashaachwa tena awekwe kwa maombi 😅

    @nyandatesther6045@nyandatesther604516 күн бұрын
  • Bila Zuchu hamtaishi. Mimi kama Kadidja mtoto wangu hawezi rudi baada ya kuolewa. Mnamchezea saana. Anawatunza nyinyi wote.

    @blueberrypotatogames7950@blueberrypotatogames795015 күн бұрын
  • Kutetea wazinzi tuuuuu.Dunia kuchnei

    @tatumakadara5793@tatumakadara579316 күн бұрын
    • Hahha wampenda upumbavu kusaport hi Dunia sijui Ina elekea wap

      @SihabaAbdallah-li6dx@SihabaAbdallah-li6dx15 күн бұрын
  • Yani juma nakupend ebu nitafut yani nakupend kwa maneno yak

    @rukayyaaliy9713@rukayyaaliy971316 күн бұрын
  • Juma lokole nipe namba ya nadibu

    @user-fx2wq2yx5r@user-fx2wq2yx5r16 күн бұрын
  • Juma lokole muongo mbona zari aliombwa msamaha huyo bab tii alitak apige magoti huku akiomba msamaha mpaka south africa ushauri wangu kwako zuchu huyo mond sio mwanaum sahih kwako wazir wangapi wameacha je ww uzur wako. Wa mwisho umeamuwa usirud nyuma acha ujinga jifikirie

    @user-zi8zy7zt5v@user-zi8zy7zt5v15 күн бұрын
    • Uyo zuchu yey sa hihi au 😂nawote wazinifu

      @SihabaAbdallah-li6dx@SihabaAbdallah-li6dx15 күн бұрын
  • Ndoa hakuna

    @pastorjully3657@pastorjully365716 күн бұрын
KZhead