Very shy, very elegantly pretty, very natural looking best of luck girl na jamii ikuzidishie neema kwa unyenyekevu ulojaliwq.
@Ba6382817 күн бұрын
Team sarah tukutane hapa jamani hii ocoun ya inster mbona haiji❤❤
@AbduliHamidu16 күн бұрын
Yuko privet nmempata😂
@ZubedaHussein-it7nf16 күн бұрын
Tupo
@typohneprofiel51516 күн бұрын
Tupo,namufurai kweli
@user-wj5ki5tk5k16 күн бұрын
Niko hapaaa
@sarahmsigwa672815 күн бұрын
Anatumia jina lipi
@user-si3bd4tk1l14 күн бұрын
Kelele Moja kwa sarah akeeee nimekupenda Bure madam Sarah
@itzsnazzyjazzy47217 күн бұрын
Namim pia nimemupend huyo dada
@zulaika-mu8pc15 күн бұрын
Kbx dada anakutajaga san diamond alikupendag kweli🎉
@loulumony851917 күн бұрын
Ki ukweli dada uko vizuri ingawa cjui kiwango Cha elimu ,unajiamini,uwezo mkubwa wa kujieleza hivo.big up sana.
@RoidaMbemba11 күн бұрын
Mrembo simple Amefanana na shamsa ford
@fatumamaro872617 күн бұрын
Hata sauti
@StevenmbashaAnthony16 күн бұрын
Kwel
@FaudhiaMiduma-hh6sv16 күн бұрын
Huyu dada mzuri afu ana nizamu, ingekuwa Mwingine angekuwa anamshibokea mond but kwa yeye she's so mute mond ndo anasema kwa mazuri yake MashaAllah❤❤❤❤@@FaudhiaMiduma-hh6sv
@aminathaabubakarmasoud56516 күн бұрын
Au lina sanga
@user-pw2sw1sk1b16 күн бұрын
@@user-pw2sw1sk1b sana vijirangi vyao vizuri mashallah
@fatumamaro872615 күн бұрын
Kumbe huyu dada ndo alimwimba hata UKIMWONA ❤
@lilianfelix514314 күн бұрын
Safi Sana baki hivyo wewe Mzuri tena Tamba ulipendwa kihalali kwanza hujui kujipendekeza ingekua mwingine tungekuona Kila Show ya Mondi haki unajiheshimu Kongole kwako ❤❤🔥🔥🌷🌷🌷🙏🙏
@ashuramhandoashuramhando679817 күн бұрын
Alafu ata mond ukimuangali vizuri Bado anampendam
@wanahawaShaban16 күн бұрын
Alitamba pande zake aache kujishaua enzi za wenzie Sasa 😮😮😢
@FatumaShabani-mp9vt16 күн бұрын
Yea very true
@nancywanjiku155416 күн бұрын
Sasa huyu uzuri wake nn puwa au
@AliMunduli15 күн бұрын
Wabongo hamna wanawke wazuri njoo Zanzibar ikiwa huyu mboni ndo alidata kwa sura ile na puwa km ngumiiii hahahahaha
@AliMunduli15 күн бұрын
Huyo Dada Ana nidham Sana. Sijuwi Kama Amepata Mume.. 🤲
@jamalahmad417317 күн бұрын
She is real
@SharifaMohammed-el3ug16 күн бұрын
Yuko na familia
@sierranjoki618314 күн бұрын
Maisha safari ndefu sana tena isio eleweka dada tumia nyota yako alio isafisha dai tafuta wataalamu wakupe mikakati diamond amesha kupeleka mjini
@abdul-hafidhothman931016 күн бұрын
Imani zetu noma sana.
@malikeyndotopopote16 күн бұрын
@@malikeyndotopopote😂😂😂😂😂
@mwajumalubunga153416 күн бұрын
Huyu ni mstaarabu sana na hashoboki na hana tamaa, angeamua kutumia nyota yake basi wakati anatajwa tajwa angejionyesha tu toka zamani kwamba yeye ndio sara mwenyewe, hujiulizi mpaka leo ameamua kumtangaza Dai mwenyewe.
@nassercurtis957916 күн бұрын
Hakuna mtaalam zaid ya Mungu unataka kumpeleka Kwa shetan tena ili apolomoke
@reveliusmuchruza795216 күн бұрын
Uko sahihi..huyo dada hafanani kabisa na mahusiano anayojisifia..kwanza hakuna anachoambulia
@ntakilutandato13 күн бұрын
Toa iyo davin king eka sara kamwambie....
@usshyclassic488116 күн бұрын
Moyo wangu mbona unampenda Sara hivi tena nimemuona siku mbili tu❤
@RehemaCharles-bc6fn17 күн бұрын
mbn ww km mm jmn nimempenda sn
@user-tx9bd2ur9t16 күн бұрын
Nimependa bule tu uyu dada jamn
@FaibeMaulid16 күн бұрын
😂😂😂😂
@aminaali79216 күн бұрын
Ana hekima
@mwitaagness45516 күн бұрын
@@aminaali792nakupenda pia ukipenda ❤😘🫂👋
@josephmaina-vm1lc16 күн бұрын
Yaaaani huyu Dada hata hatumii nguvu nyingi...very simple elegant classy gal
@chibandamwende367612 күн бұрын
Mwelewa sana
@jovanafidelis280210 күн бұрын
Mbona anafanana na queen darling wife yake😂😂
@JudyLee-hf9cy16 күн бұрын
Zuchu mshamba tu ajiaminu Sara mzuri wew
@EagerOrangeJuice-uu2ne17 күн бұрын
Mmh unafik tu
@shamsahaji620216 күн бұрын
Sara anapendwa jomoniii❤comment zote hapa ni MASHA ALLAH 🎉
@lydiampayo59713 күн бұрын
Dada anajua kuongea sana bigup sarah
@silvanotongeni845013 күн бұрын
Mtangazaji tafadhali jifunze Kwa Miladiayo. Huyu dada kakosa maswali mazuri. Kwani alikuwa yupo vizuri,wazi nk.
@user-ru6ct4rh3t16 күн бұрын
😂😂😂 Huyu dada anajua kuongea vizuri kwakweli.
@mesaidikazungu429914 күн бұрын
Hyu dada apate matunzo ni mzuri sanaa dai amsaidie jamn
@user-vb8dq3gp9d17 күн бұрын
mzuri sanaa mashallah 😍
@nadyasalim795617 күн бұрын
Kwani amekwambia anahitaji msaada??
@rikekikonyo226517 күн бұрын
Acha kiherehere umeambiwa anahitaji msaada? Wewe mwenyewe hapo ulivochunda unahitaji masada kuliko huyo sara
@nickalreadyknows17 күн бұрын
Kakuambia ana shida?
@patriciacarlo723616 күн бұрын
Diamond amsaidie kwa kipi? huku alimuacha mondi kwa kumwambia hawezi kuendelea kuishi na wanaume ambaye hana pesa
@yusternyirenda723116 күн бұрын
Naona kama kafafana na queen darlin
@farajaphilipo884416 күн бұрын
She’s better than all of emm😍❤️
@sakinariziki704017 күн бұрын
I agree
@christinemuga995613 күн бұрын
I love you Sarah!Napenda ustaarabu wako,upole na ukarimu wako.kwa kwel uko tofauti kabisa na wanawake zake diamond wote alio tembea nao.ww ni mwanamke mwenye stara.
@AdorophinaBenda10 күн бұрын
Sara yuko vzuri hashoboki alafu yuko natural sana hajajichubua na pia hana lile tako la kuchua kama wengine 😂😂😂😂 hata maneno yake yamejipangilia hajishetui.
@user-vt4vd5rh8u16 күн бұрын
Dah! Yani Mondi anakuosha nyota kwa dakika mbili tu
@rashidmexes362917 күн бұрын
Chezea mond
@irenekasa711317 күн бұрын
Kabisa
@agnesakazinzurbadamwemanel890916 күн бұрын
Mond Nani nyie ni mzalilishaji tu wa wanaweke nandiomaana mpaka Léo ajaoa na amebakiza miaka michache kuiaga Dunia najua Ina uma na vigumu kuamini Rip Diamond
@RobathcarlosM2mbadyy16 күн бұрын
@@RobathcarlosM2mbadyyAcha kufuru hakuna atakayeishi millennium ni swala la muda tu
@zeralucyntazimila660013 күн бұрын
Mrudiyane❤
@mathisngulo830213 күн бұрын
Safi sana ❤❤❤❤❤❤❤mke wa Nasibu
@halima2386216 күн бұрын
Dada Sara 🎉🎉 Hana makosa,.Zuchu mbona hajiamini
@NicodemusKithi-xe7mg17 күн бұрын
Wewe ukijiamini inatosha
@BarbaraPatience-qt9cc17 күн бұрын
Ungekua wewe ungekubali ?
@AishaAisha-yz3ns16 күн бұрын
@AishaAisbinafs ningekufaha-yz3ns
@mwitaagness45516 күн бұрын
@@AishaAisha-yz3ns binafsi ningekufa, je akimrudia.... Sarah mwenyewe bado single Bora Angela amemilikiwa
@mwitaagness45516 күн бұрын
Diamond chukua chombo hicho Ni wife material Safi,Ni mke waujana wako❤ lovely sana
@sofiarugoye7929Күн бұрын
Mrembo jamani ❤
@user-yv7xg4em4s16 күн бұрын
Sarah mrembo sema matunzo harafu anaonyesha mstarabu
@EvaRichard-uu4oy16 күн бұрын
Kweli kabisa
@user-kw8bo1ut8s16 күн бұрын
Duuuh aisee maisha ni safari ndefu sana
@Bless-b.DL-babyofficial876917 күн бұрын
Zuchu anatakiwa kujua mchango w Sarah ndo maana Nassibu sasa hivi ndio Diamond ambae nae amempenda akiwa diamond Kwa hiyo zuchu aache ubinafsi. Sara ameshiriki kumould Nassibu Kwa hiyo arudishe mabeg yake tu labda kingine
@isabelambwago699714 күн бұрын
Mondi siku ukija kuoa kabisa kwa ndoa muoe Sara mzuri mno jamani
@user-qw8tm3jz2u13 күн бұрын
Napenda watu wa hivi wana move on na hawana habari na mtu sio mtu mkiachana akiona umejipata tayar anataka kurudi dada jasiri sana
@Lilmbunah16 күн бұрын
BORA MAISHA YA KAWAIDA YA SMANI KULIKO MAISHA YA RAHA YA KARAHA NA KUDHALILIKA KILA SIKU NA MASHAKA
@fbr511316 күн бұрын
Huyo mtoto wa mjini alishamalizaga hayo
@stn487314 күн бұрын
Hapa mond angeoa tu Dada kapoa ANAJIBU vzur maswali Ila mzuri ni life tu
@user-pu6pr5jt4n16 күн бұрын
Unaishi kwenye moyo wa nasibu ijapo kilamtu anamaishayke
@salimanguzo555316 күн бұрын
Nzuri pia anamzid zuchu ndomana kapt wivu
@zenamtembezi492116 күн бұрын
Sarah unaakili sana DADA angu sana
@rogynee813516 күн бұрын
Nakupendasarawake aise wakwawewe2
@EagerOrangeJuice-uu2ne17 күн бұрын
Mke mwenye heshima Wa simba
@ewoicomedy179816 күн бұрын
Hawa wanawake wa zamani wa simba wote hawana maisha mazuri tabu tupu hta hawakumbuki
@mozasuliman395916 күн бұрын
Yaani huyu nimemfuatilia intavyu zake zote hamjui diamond anamjua Nasibu tu, wadandiaji wengine walikuta tayari alishabadilika kuwa diamond
@bcozhenry269813 күн бұрын
Usimsahau @wema pia humuita Nasibu na hiki n kitmblisho cha anawake walipendwa na Nasibu bila kumvuta na madawa kama zuchu
@rachelmnyimwa419210 күн бұрын
Zari alitongozwa Kwa ndege😂❤
@Mohaa430916 күн бұрын
Huna pupa maskin dai.akuwezeshe
@edakilibika593516 күн бұрын
Mtangazaji bure kabisaa hajui kuuliza maswali😅😅
@user-lj9yv3ds7u16 күн бұрын
Hawa mioyo yao bado ipo pamoja
@patriciacarlo723616 күн бұрын
Sarah ni mrembo
@BibieMakame17 күн бұрын
Tena sana
@christinemuga995613 күн бұрын
Nimekapenda kabisa
@RacherBakari-qh2gx16 күн бұрын
Sasa si warudiane jmn lbd walipangiwa wao kuoana jmn ila pua ya sarah jmn😅au mm naiona mwnyew duu maana kama mond alimpenda uyu kuliko yan wote wema,,tanasha akina zari na n.k why uyu sarah mpk leo anamuongea kuna kitu bado wanacho
@chariedecute820016 күн бұрын
Pua lasara kama langu
@MagdalenaHoja-jh9qg16 күн бұрын
Muulize Mungu
@SharifaOmary-ui8vs16 күн бұрын
@@SharifaOmary-ui8vs watu wngne ovyo uyo MUNGU unaemtaja apa kafkaje KZhead uwege na akili Anza wewe kumuuliza kwann umekupa kichwa kikubwa Kama gesi unatumia jina lake kwenye upuuzi wa mitandaoni mfyuuu
@chariedecute820016 күн бұрын
😅 yani pua kama yangu utafikiri tumezaliwa mapacha
@pyelesyamwakatika54015 күн бұрын
😂😂😂😂hongereni mapacha wa3
@bettyseverin757113 күн бұрын
Ila kufanana na kwin darl
@marselinerfoi861112 күн бұрын
❤❤Sarah nimekupenda bure yaàn
@aminaomary556714 күн бұрын
Mstarab san huy Dada
@user-vj1ek5us4r16 күн бұрын
Mtangazaji upo ovyo sana maswali Yana boa
@mwanaibrahim244417 күн бұрын
Aisee weumegundua kama kama mimi jamaa fala kweli
@jumapiliissa483517 күн бұрын
Ata sura ya mtangazaji inaboa
@WINIFRIDAIGULU-bf1fh15 күн бұрын
Wanawake waliyo mfa diamond ni 2 tu, huyu apa Sarah na zarina Hassan tu.
@NM-rq9dr10 күн бұрын
Sarah hata ugekuwa mkumbwa inawahusu Nini, ukiritiba utaisha lini,washamba
@Jeneffershishi-ik4jo11 күн бұрын
Ana fanana na kwini dalini to
@nanahmekaupbeautifu23716 күн бұрын
Next sacrifice in FM
@AbdulMajid-ou3rm12 күн бұрын
Ahsante sana mtangazaji...una iq kubwa unatamani tujue kitu
@ntakilutandato13 күн бұрын
❤❤ 3:26 nimekupenda dada mtimuwe huyo zuchu anayejishauwa sana
@zainabuiddy-me7rd15 күн бұрын
Milard afanye interview ya diamond na sara kama ile ya nenga na nandi alafu booom tukaskia wamerudiana😂
@mercy66114 күн бұрын
Nimempenda Sara
@user-oq2wp8oh1f16 күн бұрын
Sarah mwenzangu sasa😂😂
@SarahDeus-mk5wp16 күн бұрын
She is so pretty
@nancywanjiku155416 күн бұрын
Sarah alipendwa kihalali lakini zuchu anamroga diamond ndio mana diamond anapelekeshwa na zuchu naona zuchu amekua ndio boss diamond amekua ni mfanyakazi si marogo hayo yanaonesha wazi😊😊😊
@user-jn7do4wd6f16 күн бұрын
Ulikuwa unampeleka kwenye hayo marogo
@themk-sw9eh16 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-ec2yl7hv6z14 күн бұрын
namwona shamsa ford
@sarahmcharo154817 күн бұрын
Yan Wanafanana mnoooo
@JorynSamuel17 күн бұрын
Macho yko yameona kama mm
@KhadijaDija-ir2hq17 күн бұрын
Kabisa kabisa yani😅
@sadihashimu466416 күн бұрын
Mtangazaj hujui maswal yanajirudia
@Naju64517 күн бұрын
Wow huyo ndio Sarah
@annamoshy95599 күн бұрын
Huyu dada nimetokea kumpenda ni mkimya and mtulivu kwa majibu
@FerdinandNyawenda2 күн бұрын
Diamond alianza kumtaja sara kitambo sana
@FaridHamis4 күн бұрын
Yaan zamani raha mwanaume anakutongoza unamzungushaaa weeeee lakini sasa hv mmmh wanaume wanatogozwa waooo fasta yaan dakika tu hatar na nusu😂😂😂😂
@usindemdamo529915 күн бұрын
Hhhhhh Nyie huko kwa Mama Samia hamna dogo kbs!!
@ndayijeanclaude509417 күн бұрын
Vi online tv bhana ,,sa ndo nn
@Just_a_gal.14 күн бұрын
❤❤❤
@neemapaul907316 күн бұрын
Kumekucha😂😂😂😂
@azizayassin362316 күн бұрын
TATIZO SARAH NI WA KIENYEJI NDIO MAANA HANA MAMBO MENGI
@hamisathuman272915 күн бұрын
Siyo mukubwa ni maisha Ndio Ina Inamufanya ivo
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp17 күн бұрын
Kabsa
@maryamsaid130717 күн бұрын
zuchu bana Yan unaacha kupat wivu kwa wazaz wenzak wanaukuj had nyumban kwak unapata wasiwasi.... kwa huyu ambae kamuita stejini tu
@muhsiniamiri931016 күн бұрын
Kaona anatajwa kila interview, nilimpenda sarah bado nampenda,kamwambie niliimba kwa ajilieyake, 😂sasa anaona sarah akitoa tu nafasi kaisha
@user-zz5ng1yb8d14 күн бұрын
Sara mzr kwa yuko mbali na dai...lkn akiwa pamoja atakua na matatizo...leo mzr kesho mbaya
@aystv599816 күн бұрын
Ila huyu Dada mkono yake mikubwa sana
@TpPt-do5vg13 күн бұрын
❤
@KhadijaKassim-br3eo12 күн бұрын
Simba atar
@user-ci1sz5sk9p17 күн бұрын
Sara anakitu mwilini sana
@user-qo6qv6mc5p13 күн бұрын
Wanao taka kumjua rafiki yake mondi makitonto tujuane kwa like hapa
@manp909112 күн бұрын
Kaka mtunze huu mdada
@neemapaul907316 күн бұрын
So this is crazy mas crazy so all these years he didn't look for this woman…. His Sarah.😂. The public amaze me😮
@joyhylton790117 күн бұрын
Hiyo miwani No
@rosemneney324416 күн бұрын
Il va la chercher alors qu'elle lui avait dit qu'elle partait parcequ'il n'y avait plus d'argent ; Quand une femme dit ça l'homme n'aura plus le courage d'aller te chercher car vous l'avez abandonné au pire moment ; Avec ou sans elle Diamond allait réussir car c'était son destin et c'était écrit et Dieu avait voulu que Diamond passe par ce chemin.....
@user-wi6uk1vz1h16 күн бұрын
Watanzania hawana shughuli
@Kabwela77616 күн бұрын
huyu sarah ampate mtangazaji mzuri tutajua mengi kuhusu diamond wa enzi hizo...mi nadhan kwa sara tulitakiwa kujua maisha ya zaman
@tahirnephessalum367816 күн бұрын
🥰🥰🥰
@dayana5513story16 күн бұрын
Walitaka upake makeup Ndi0 maana wanasema iyvo wamezoeya kuona sura za makeup na yy hakuwa nayo bt this girl she is a very beautiful yni hakuwa na makeup je agepaka hlafu ana ka figa fulni 😂😂😂
@ashabady961616 күн бұрын
Kabs yan wamezoea make up tu haraf huyu Sara mbona alikuwaga kimya ata hajiproud maskin
@LucySanga-du9fd16 күн бұрын
Ghafla ushkuw Maarufu Sarah
@GodfreyKunambi16 күн бұрын
Fanyen murdiane bhn saraa nimekupenda una mambo mengi màsikin
@LuciaMakarange-vb8mc17 күн бұрын
Heee imekua nongwa
@user-ki4sg8yz9j15 күн бұрын
Hunahekima sana unamajivuno
@WitinessJoseph11 күн бұрын
Kumbe anakithethe
@basiaarsh383516 күн бұрын
Waandishi wa miaka hii ni mtihani wallah, though ayo ni maisha ya zamani ila mnavyofanya sasa waandishi nyie doh
@mumbafaraji463811 күн бұрын
Zuchu mzuri huyu Sarah ana jipua kubwa kama la Baba levo
@kassimmohammed83412 күн бұрын
Jamani yamekua hayo tena
@agathasungura504712 күн бұрын
Kama mzito kujieleza
@tfashy_hub915612 күн бұрын
Huyu ni mzuri kushinda zuchu. Ana kiuno, ni mashalah guu we. Huyu akiwekwa ndani ni mzuri
Very shy, very elegantly pretty, very natural looking best of luck girl na jamii ikuzidishie neema kwa unyenyekevu ulojaliwq.
Team sarah tukutane hapa jamani hii ocoun ya inster mbona haiji❤❤
Yuko privet nmempata😂
Tupo
Tupo,namufurai kweli
Niko hapaaa
Anatumia jina lipi
Kelele Moja kwa sarah akeeee nimekupenda Bure madam Sarah
Namim pia nimemupend huyo dada
Kbx dada anakutajaga san diamond alikupendag kweli🎉
Ki ukweli dada uko vizuri ingawa cjui kiwango Cha elimu ,unajiamini,uwezo mkubwa wa kujieleza hivo.big up sana.
Mrembo simple Amefanana na shamsa ford
Hata sauti
Kwel
Huyu dada mzuri afu ana nizamu, ingekuwa Mwingine angekuwa anamshibokea mond but kwa yeye she's so mute mond ndo anasema kwa mazuri yake MashaAllah❤❤❤❤@@FaudhiaMiduma-hh6sv
Au lina sanga
@@user-pw2sw1sk1b sana vijirangi vyao vizuri mashallah
Kumbe huyu dada ndo alimwimba hata UKIMWONA ❤
Safi Sana baki hivyo wewe Mzuri tena Tamba ulipendwa kihalali kwanza hujui kujipendekeza ingekua mwingine tungekuona Kila Show ya Mondi haki unajiheshimu Kongole kwako ❤❤🔥🔥🌷🌷🌷🙏🙏
Alafu ata mond ukimuangali vizuri Bado anampendam
Alitamba pande zake aache kujishaua enzi za wenzie Sasa 😮😮😢
Yea very true
Sasa huyu uzuri wake nn puwa au
Wabongo hamna wanawke wazuri njoo Zanzibar ikiwa huyu mboni ndo alidata kwa sura ile na puwa km ngumiiii hahahahaha
Huyo Dada Ana nidham Sana. Sijuwi Kama Amepata Mume.. 🤲
She is real
Yuko na familia
Maisha safari ndefu sana tena isio eleweka dada tumia nyota yako alio isafisha dai tafuta wataalamu wakupe mikakati diamond amesha kupeleka mjini
Imani zetu noma sana.
@@malikeyndotopopote😂😂😂😂😂
Huyu ni mstaarabu sana na hashoboki na hana tamaa, angeamua kutumia nyota yake basi wakati anatajwa tajwa angejionyesha tu toka zamani kwamba yeye ndio sara mwenyewe, hujiulizi mpaka leo ameamua kumtangaza Dai mwenyewe.
Hakuna mtaalam zaid ya Mungu unataka kumpeleka Kwa shetan tena ili apolomoke
Uko sahihi..huyo dada hafanani kabisa na mahusiano anayojisifia..kwanza hakuna anachoambulia
Toa iyo davin king eka sara kamwambie....
Moyo wangu mbona unampenda Sara hivi tena nimemuona siku mbili tu❤
mbn ww km mm jmn nimempenda sn
Nimependa bule tu uyu dada jamn
😂😂😂😂
Ana hekima
@@aminaali792nakupenda pia ukipenda ❤😘🫂👋
Yaaaani huyu Dada hata hatumii nguvu nyingi...very simple elegant classy gal
Mwelewa sana
Mbona anafanana na queen darling wife yake😂😂
Zuchu mshamba tu ajiaminu Sara mzuri wew
Mmh unafik tu
Sara anapendwa jomoniii❤comment zote hapa ni MASHA ALLAH 🎉
Dada anajua kuongea sana bigup sarah
Mtangazaji tafadhali jifunze Kwa Miladiayo. Huyu dada kakosa maswali mazuri. Kwani alikuwa yupo vizuri,wazi nk.
😂😂😂 Huyu dada anajua kuongea vizuri kwakweli.
Hyu dada apate matunzo ni mzuri sanaa dai amsaidie jamn
mzuri sanaa mashallah 😍
Kwani amekwambia anahitaji msaada??
Acha kiherehere umeambiwa anahitaji msaada? Wewe mwenyewe hapo ulivochunda unahitaji masada kuliko huyo sara
Kakuambia ana shida?
Diamond amsaidie kwa kipi? huku alimuacha mondi kwa kumwambia hawezi kuendelea kuishi na wanaume ambaye hana pesa
Naona kama kafafana na queen darlin
She’s better than all of emm😍❤️
I agree
I love you Sarah!Napenda ustaarabu wako,upole na ukarimu wako.kwa kwel uko tofauti kabisa na wanawake zake diamond wote alio tembea nao.ww ni mwanamke mwenye stara.
Sara yuko vzuri hashoboki alafu yuko natural sana hajajichubua na pia hana lile tako la kuchua kama wengine 😂😂😂😂 hata maneno yake yamejipangilia hajishetui.
Dah! Yani Mondi anakuosha nyota kwa dakika mbili tu
Chezea mond
Kabisa
Mond Nani nyie ni mzalilishaji tu wa wanaweke nandiomaana mpaka Léo ajaoa na amebakiza miaka michache kuiaga Dunia najua Ina uma na vigumu kuamini Rip Diamond
@@RobathcarlosM2mbadyyAcha kufuru hakuna atakayeishi millennium ni swala la muda tu
Mrudiyane❤
Safi sana ❤❤❤❤❤❤❤mke wa Nasibu
Dada Sara 🎉🎉 Hana makosa,.Zuchu mbona hajiamini
Wewe ukijiamini inatosha
Ungekua wewe ungekubali ?
@AishaAisbinafs ningekufaha-yz3ns
@@AishaAisha-yz3ns binafsi ningekufa, je akimrudia.... Sarah mwenyewe bado single Bora Angela amemilikiwa
Diamond chukua chombo hicho Ni wife material Safi,Ni mke waujana wako❤ lovely sana
Mrembo jamani ❤
Sarah mrembo sema matunzo harafu anaonyesha mstarabu
Kweli kabisa
Duuuh aisee maisha ni safari ndefu sana
Zuchu anatakiwa kujua mchango w Sarah ndo maana Nassibu sasa hivi ndio Diamond ambae nae amempenda akiwa diamond Kwa hiyo zuchu aache ubinafsi. Sara ameshiriki kumould Nassibu Kwa hiyo arudishe mabeg yake tu labda kingine
Mondi siku ukija kuoa kabisa kwa ndoa muoe Sara mzuri mno jamani
Napenda watu wa hivi wana move on na hawana habari na mtu sio mtu mkiachana akiona umejipata tayar anataka kurudi dada jasiri sana
BORA MAISHA YA KAWAIDA YA SMANI KULIKO MAISHA YA RAHA YA KARAHA NA KUDHALILIKA KILA SIKU NA MASHAKA
Huyo mtoto wa mjini alishamalizaga hayo
Hapa mond angeoa tu Dada kapoa ANAJIBU vzur maswali Ila mzuri ni life tu
Unaishi kwenye moyo wa nasibu ijapo kilamtu anamaishayke
Nzuri pia anamzid zuchu ndomana kapt wivu
Sarah unaakili sana DADA angu sana
Nakupendasarawake aise wakwawewe2
Mke mwenye heshima Wa simba
Hawa wanawake wa zamani wa simba wote hawana maisha mazuri tabu tupu hta hawakumbuki
Yaani huyu nimemfuatilia intavyu zake zote hamjui diamond anamjua Nasibu tu, wadandiaji wengine walikuta tayari alishabadilika kuwa diamond
Usimsahau @wema pia humuita Nasibu na hiki n kitmblisho cha anawake walipendwa na Nasibu bila kumvuta na madawa kama zuchu
Zari alitongozwa Kwa ndege😂❤
Huna pupa maskin dai.akuwezeshe
Mtangazaji bure kabisaa hajui kuuliza maswali😅😅
Hawa mioyo yao bado ipo pamoja
Sarah ni mrembo
Tena sana
Nimekapenda kabisa
Sasa si warudiane jmn lbd walipangiwa wao kuoana jmn ila pua ya sarah jmn😅au mm naiona mwnyew duu maana kama mond alimpenda uyu kuliko yan wote wema,,tanasha akina zari na n.k why uyu sarah mpk leo anamuongea kuna kitu bado wanacho
Pua lasara kama langu
Muulize Mungu
@@SharifaOmary-ui8vs watu wngne ovyo uyo MUNGU unaemtaja apa kafkaje KZhead uwege na akili Anza wewe kumuuliza kwann umekupa kichwa kikubwa Kama gesi unatumia jina lake kwenye upuuzi wa mitandaoni mfyuuu
😅 yani pua kama yangu utafikiri tumezaliwa mapacha
😂😂😂😂hongereni mapacha wa3
Ila kufanana na kwin darl
❤❤Sarah nimekupenda bure yaàn
Mstarab san huy Dada
Mtangazaji upo ovyo sana maswali Yana boa
Aisee weumegundua kama kama mimi jamaa fala kweli
Ata sura ya mtangazaji inaboa
Wanawake waliyo mfa diamond ni 2 tu, huyu apa Sarah na zarina Hassan tu.
Sarah hata ugekuwa mkumbwa inawahusu Nini, ukiritiba utaisha lini,washamba
Ana fanana na kwini dalini to
Next sacrifice in FM
Ahsante sana mtangazaji...una iq kubwa unatamani tujue kitu
❤❤ 3:26 nimekupenda dada mtimuwe huyo zuchu anayejishauwa sana
Milard afanye interview ya diamond na sara kama ile ya nenga na nandi alafu booom tukaskia wamerudiana😂
Nimempenda Sara
Sarah mwenzangu sasa😂😂
She is so pretty
Sarah alipendwa kihalali lakini zuchu anamroga diamond ndio mana diamond anapelekeshwa na zuchu naona zuchu amekua ndio boss diamond amekua ni mfanyakazi si marogo hayo yanaonesha wazi😊😊😊
Ulikuwa unampeleka kwenye hayo marogo
😂😂😂😂
namwona shamsa ford
Yan Wanafanana mnoooo
Macho yko yameona kama mm
Kabisa kabisa yani😅
Mtangazaj hujui maswal yanajirudia
Wow huyo ndio Sarah
Huyu dada nimetokea kumpenda ni mkimya and mtulivu kwa majibu
Diamond alianza kumtaja sara kitambo sana
Yaan zamani raha mwanaume anakutongoza unamzungushaaa weeeee lakini sasa hv mmmh wanaume wanatogozwa waooo fasta yaan dakika tu hatar na nusu😂😂😂😂
Hhhhhh Nyie huko kwa Mama Samia hamna dogo kbs!!
Vi online tv bhana ,,sa ndo nn
❤❤❤
Kumekucha😂😂😂😂
TATIZO SARAH NI WA KIENYEJI NDIO MAANA HANA MAMBO MENGI
Siyo mukubwa ni maisha Ndio Ina Inamufanya ivo
Kabsa
zuchu bana Yan unaacha kupat wivu kwa wazaz wenzak wanaukuj had nyumban kwak unapata wasiwasi.... kwa huyu ambae kamuita stejini tu
Kaona anatajwa kila interview, nilimpenda sarah bado nampenda,kamwambie niliimba kwa ajilieyake, 😂sasa anaona sarah akitoa tu nafasi kaisha
Sara mzr kwa yuko mbali na dai...lkn akiwa pamoja atakua na matatizo...leo mzr kesho mbaya
Ila huyu Dada mkono yake mikubwa sana
❤
Simba atar
Sara anakitu mwilini sana
Wanao taka kumjua rafiki yake mondi makitonto tujuane kwa like hapa
Kaka mtunze huu mdada
So this is crazy mas crazy so all these years he didn't look for this woman…. His Sarah.😂. The public amaze me😮
Hiyo miwani No
Il va la chercher alors qu'elle lui avait dit qu'elle partait parcequ'il n'y avait plus d'argent ; Quand une femme dit ça l'homme n'aura plus le courage d'aller te chercher car vous l'avez abandonné au pire moment ; Avec ou sans elle Diamond allait réussir car c'était son destin et c'était écrit et Dieu avait voulu que Diamond passe par ce chemin.....
Watanzania hawana shughuli
huyu sarah ampate mtangazaji mzuri tutajua mengi kuhusu diamond wa enzi hizo...mi nadhan kwa sara tulitakiwa kujua maisha ya zaman
🥰🥰🥰
Walitaka upake makeup Ndi0 maana wanasema iyvo wamezoeya kuona sura za makeup na yy hakuwa nayo bt this girl she is a very beautiful yni hakuwa na makeup je agepaka hlafu ana ka figa fulni 😂😂😂
Kabs yan wamezoea make up tu haraf huyu Sara mbona alikuwaga kimya ata hajiproud maskin
Ghafla ushkuw Maarufu Sarah
Fanyen murdiane bhn saraa nimekupenda una mambo mengi màsikin
Heee imekua nongwa
Hunahekima sana unamajivuno
Kumbe anakithethe
Waandishi wa miaka hii ni mtihani wallah, though ayo ni maisha ya zamani ila mnavyofanya sasa waandishi nyie doh
Zuchu mzuri huyu Sarah ana jipua kubwa kama la Baba levo
Jamani yamekua hayo tena
Kama mzito kujieleza
Huyu ni mzuri kushinda zuchu. Ana kiuno, ni mashalah guu we. Huyu akiwekwa ndani ni mzuri
Shkamoo pub marahaba hahahaha