Follow Israel Mbonyi at
israelmbonyi.com
/ israelmbonyi
/ israelmbonyii
/ israembonyi
/ israelmbonyi
Contacts :
Information : Info@israelmbonyi.com
Bookings : Booking@israelmbonyi.com
Prayer Request : Prayer@israelmbonyi.com
Testimony : Testimony@israelmbonyi.com
Malengo
________
Verse 1
Atakaye kuwa na wema
Ahitajie kuheshimiwa
Basi aende ayatafute kwa
kutenda mema bila kusita
Asiyajali macho ya watu
Maana yao sio muhimu
Bali ajali jina nimuitalo
Kwani mi ni Mungu aliyemuumba
Chorus
Ninayajua yangu malengo
Ni mema sio mabaya
Ili niwape matumaini ya siku zijazo
Nawapenda
Wambieni wenye huzuni
Tulizeni wenye majelaha
Wambieni waje waone
Tuna Mungu mwingi wa upendo
Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa
Katuosha na kutusafisha
Akatuahidi uzima wa milele
Verse 2
Simameni kwenye mnara,
usubiri ntakacho kisema
Zizuieni sauti za muovu
Na upende kuwa mwenye haki
Nenda omba tena uombe
Tofautisha kuomba kwako,
Maana hapo nitakuokoa
Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako
Jeremiah 29:11 For I know the plans I have for you,” declares the Lord, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future. Bless y’all 😮😊
Amen 🙏 be blessed our boy,can’t sleep until I listen to that song 🎧………waiting
I love 💟 you so much and I usually Pray for you day and night and I mean it be blessed 💕💕💐
A very handsome man serving His creator 👍may He not pass you by.
Amen be blessed.
Amen Amen... Eagerly waiting... I am a silent follower of your songs & they really bless me
How many Kenyans want Mr. Mbonyi to visit Kenya?🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Where he lives?
Rwanda
@@sammysunly567 wauuuuu. Só Rwanda and Kenya they speak swaili then?
Israel Mbonyi wanted in Kenya.
Kutoka Mwanza Tz; Hakika Kwa upande wa Gospel Huyu ndo Mesi wetu; Jamaa anajua mpaka anakera 😁😁😁 🤚🤚
Israel Mbonyi to the world❤❤ Your songs are phenomenal ❤❤wapi likes za wakenya....
True ❤
I agree-'Israel Mbonyi to the world'- in this season
Israel mbonyi encouraging me everyday God keep you for me sir🙏
Tupo
🙌🙌
Watanzania wangapi Mnaikubali huduma ya Mbonyi tunaomba like za kutosha.
If you know that your life will never remain the same after this ministration give a thumbs up 👍 or say Amen 🙏
🙏
kzhead.info/sun/aNORlppoeYZvaYE/bejne.htmlsi=ni99UDi7_mOLVJMZ
I know for sure my life will never be the same
Amen
TRANSLATION: Atakaye kuwa na wema (He who desires to possesses kindness) Ahitajie kuheshimiwa (He who seeks to be respected) Basi aende ayatafute kwa (Let him go and pursue it) kutenda mema bila kusita (By doing good without hesitation) Asiyajali macho ya watu (Let him pay no mind to people's gazes) Maana yao sio muhimu (For their opinions are not important) Bali ajali jina nimuitalo (But cherish the name I call you) Kwani mi ni Mungu niliyemuumba (For I am the God who created you) (Repeat) Ninayajua yangu malengo (I know my plans) Ni mema sio mabaya (They are good, not evil) Ili niwape matumaini ya siku zijazo (To give hope for the days to come) Nawapenda (I love you) Wambieni wenye huzuni (Tell those in sorrow) Tulizeni wenye majeraha (Comfort those with wounds) Wambieni waje waone (Tell them to come and see) Tuna Mungu mwingi wa upendo (We have a God of love) Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa (He found us struggling in sin and lifted us) Katuosha na kutusafisha (He cleansed and purified us) Akatuahidi uzima wa milele (And promised us eternal life) Simameni kwenye mnara, (Stand on the tower,) usubiri ntakacho kisema (wait for what I will say) Zizuieni sauti za muovu (Block out the voice of the wicked) Na upende kuwa mwenye haki (And choose to be righteous) Nenda omba tena uombe (Go, pray again and again) Tofautisha kuomba kwako, (Distinguish in your prayer) Maana hapo nitakuokoa (For there I will save you) Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako (I will give a mighty army for your sake)
Thanks for the translation 🙏
Amen Amen Amen Amen
Thanks for the translation, now I'm sorted.
Thank you, you're the best
Hallelujah 🙏
Team Kenya Hoiyee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Malengo ya Mungu wetu 2024 🎉❤🎉❤🎉
Team Kenya tupo .
Mwiriwe wowe numuryangowe mdabakunda
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿...mko wapi?? Likes zenu hapa
kzhead.info/sun/aNORlppoeYZvaYE/bejne.htmlsi=ni99UDi7_mOLVJMZ
tupo pamoja
kzhead.info/sun/aNORlppoeYZvaYE/bejne.htmlsi=cVlcjEnSViP9_qG_
Wengi wanapenda huduma yako mbonyi ubarikiwe
🎉🎉🎉🎉
👏 How many Tanzanians want Mr Mbonyi to visit Tanzania ? Specific Dar es salaam 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mbona mnatucopy kenyans😅 anyway tunawapenda
Ukuje Mtimishi
Yeeee❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we got the message loud and clear brother. Let's show him love Kenyans.
❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Haleluyah
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@GeorgeOtieno 🇰🇪🇰🇪🇰🇪for jesus
❤❤❤
People from Kenya 🇰🇪 Rwanda 🇷🇼 Burundi 🇧🇮 Uganda 🇺🇬 Tanzania 🇹🇿 Congo 🇨🇩 and the whole of East Africa 🌍 KINDLY Come and Celebrate God's servant our Heavenly gift 🎁 in this Generation. JEREMIAH 29:11❤️AMEN!!📖🕊️
Amen
Amen
Hallelujah 🙌
Haleluyah
@@alicejumaa89amen
Mr Mbonyi, Kenya loves you🇰🇪🇰🇪🇰🇪 You’re blessing to many
Amen dear he's my favorite one ❤❤❤❤
God bless you daudi was leo
Am a Kenyan ,i love this so much ....
hio wimbo inanigusa mpaka kwa roho,wapi likes zake ....
Mungu akutangulie ufike mbali
I remember listening to "Nitaamini song" in great despair last month 🥲 My brother was in remand, and my sister was awaiting a major surgery that was really troubling her, I remember telling God that i needed a miracle, and even nothing happens, Bado nitaamini😌 Guess what people of God, one day to the surgery, my sister was declaired healed and as i type this, My brother is at home, and has given his life to Christ.❤️❤️❤️ I feel so blessed right now, I cant help but fascinate at Malengo ya Mungu 🙏❤️❤️❤️❤️
May the lord's name be Glorified. He answers prayers if we pray in faith.
Faithful God
Hallelujah, he is God of promises
Mungu ni mwema
The song was indeed a timely message from God
Mbonyi he should Do a massive concert 🎶 in Kenya 🇰🇪 ❤ ahafite abakunzi beshi cyane mbibona Muri comments Rwose ❤️
True even in the comments section he's loved
Indeed that's true my friend
Indeed that's true my friend
Kweri kbs my dear baramukunda cyane Nairobi ahantu hose ukandagiye ni Mbonyi wenyine nindirimbo ze cyane cyane Ninasiri My god bless you Mbonyi uri Umugisha Muhungu wa Yesu kd uhesha Imana Ishema mumaso yImana nIgihugu cyacu CYURWANDA URI ISHEMA🤗🤗🤗🤗 IMANA IKURINDE KD IKUGIRIRE NEZA
Aki
Israel kweli wewe ni baraka, nyimbo zako zatuonyesha uwepo & kumtumikia Mungu. Asante from Tanzania 🇹🇿
kzhead.info/sun/aNORlppoeYZvaYE/bejne.htmlsi=ni99UDi7_mOLVJMZ
🙌 kabisa Mimi natamka huyu kijana Mungu amemtumia zaidi kwanyakati hizi ngumu ili wateule wajue walipo mungu yupo ,wasipotezwe nahali ngumu tunayopitia
Nitatoa jeshi kubwa juu yako, Amen and Amen 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
You are inspiration to all walks of life. Am not a christian but I love you. Every time someone likes this comment I am coming to listen this song again. Shalom.
May our good God do you well
It's time to accept and believe that Jesus Christ died at the cross for your sins and be saved. It's simple .
@@dinahadhiambo9710 He will. Thank you and have a blessed time this holidays.
@@ruthndunda7 I am open to try.
@@biggielanya please do. God loves you so much. Jesus is waiting for you with outstretched arms to embrace you at His chest. He died for me and you. Just believe in him and you will be saved. If you need help on how please let us know. Servants of God here will help you
Kenya 🇰🇪🇰🇪 you're gifted brother. May the Grace carry you through
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu , hekima na unyenyekevu mbele za Mungu liwe fungu lako na BWANA aikuze huduma yako.
We need a concert of Israel Mbonyi in Kenya🇰🇪
True
Kabisa
Can't wait ❤
Asap
How can I reach his manager?
Team Kenya 🇰🇪 🥳 weekend sorted. (Nzibyo nibwira - in Swahili version). Be blessed Israel.
My thought's exactly,so,soo blessed with this translated version,thanks Israei and team.
Amen,Amen for this translated version Israel and team,baraka tele.
We love it! 🎉
Amen
This is song is my painkiller...be blessed bro welcome Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🙏
Mimi nilijuaga huyu kaka ni mchaga 🤭 Mungu akutunze nabarikiwa na nyimbo zako❤
Watanzania wanaomfatilia Israel mbonyi like tafadhali
🇰🇪 Kenyans in the house praising Almighty God❤❤❤
Our bro Israel has done it again ❤
@@eunicekamene816 exactly ♥️♥️♥️♥️
Feeling blessed ❤❤❤ kenya
kzhead.info/sun/orpxhc6BeKOIhY0/bejne.htmlfeature=shared
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤗
Ninajua yangu malengo Ni mema asante mungu❤ Likes za kakamega
Who else has discovered that he sang this song 10 yrs ago, in Kinyarwanda? Thank you for giving us the Swahili version ❤..i love the song in both languages.
A proud Kenyan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mungu abariki Wakristo wote duniani wanapo ombea Malengo yao🙏🏾
Amen 🙏
East Africans sasa tunaanza kuelewana , may the Heavenly Father bless your ministry kaka. T🇹🇿nzania tunakuombea uende mbali katika kuwarejesha watu kwa Yesu , tumalize kazi twende nyumbani 🙌🏾🙏🏿🙏🏿
This man is a man of God, seven times am listening your song ,,,God bless u unanibariki saana,,,
Lini atakuja Tanzania
Hata Mimi macho ameja machozi nilianza kumuskiliza yangu 2014 nakoana kwamba IPO siku east Africa itamuskia akiimba lugha zetu sasa hatimaye muda umefika tu na enjoy🥰🥰🥰
Ameeeeeeen my sister in Christ
Emeni
After listening to this song, my soul was instantly healed and hope in Jesus become my strong hold.🇰🇪🇰🇪in Kenya your images are already branded in public transport vehicle.glory to God...is it true Kenyans🇰🇪🇰🇪👍
Mungu wa mbinguni tunza huduma yako kwa huyu mtumishi wako🤲🏾. Shetani asiharibu🤲🏾🙏🏾
Pls we need more worshiping swahili songs from you. Blessings from Kenya 🇰🇪
I agree.
Yes👍👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪
i agree too
beloved people of God,our God is God of love,my niece had a mild meningitis and was admitted to hospital,let me tell you,i just sang tugumane song from bro mbonyi,and indeed we never spent a wk in that hospital ,we got discharged and no illnesses at all.Mungu wetu niwa upendo,ni mwingi wa rehema.we are healed through his blood❤indeed lets worship him with our whole Hearts..
Amen
Amen
Amen
Amen ❤
Amen and all glory to God.
I really love your composition... Visit kenya one day🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I'm a south Sudanese I don't understand the language but I touched by all the songs of Israel 🙏🙏
Fellow Kenyans let's gather here, , let's show this man of God love🙏🙏
❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
Israel mbonyi to the world 🥹🥹🥹Wap likes za Tanzania ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mungu akakuinue na kukutumia katika viwango vya juu mtumishi wa Mungu,, 🇹🇿🇹🇿
Israel huna baya sio kwa upako huu 🇹🇿🇹🇿 tunakupenda.
Emeni
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪come see yupo Mungu hapa.wakutumaini.apeanae uzima wa milele.alindaye inchi yetu kwa jeshi lake kubwa.
Kenya 🇰🇪Anxiously awaiting... more grace Israel.
Listening to you from Congo (DRC)🇨🇩, nyimbo hii imenibariki sana, kunikumbusha malengo ya Mungu kw ajili yangu
Hii ndio huwa tunaita kuinuliwa na kubarikiwa na Mungu!Much blessings Israel . Injili isonge mbele!
Wote waliobarikiwa na huu wimbo kama mimi gonga like hapa.
Dedicating this wonderful song to all Kenyans in gulf ❤we love your songs 🇰🇪 🇰🇪
Team strong 🙏🙏🙏
Ooh hallelujah even gulf are listening be blessed Kenyan's who are in gulf 👏👏👏👏we love you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@nelsonechesa2200 Thankyou so much🙏
@@Ruthbaraka902 be blessed I hope one day we shall meet there in gulf
Ni najua yangu maneno ni mema sio mabaya, ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Men like israel dont value fame,but rather are led by the Holy Spirit ,kenyans pray that God Almighty will send him in His own time
Wambieni wenye huzuni tulizeni wenye majeraha,wambieni waje waone tuna mungu mwenye wa upendo🙏
❤
❤
🙏🙏🙏
Mbonyi njoo Kenya we have accepted you as our son!!! this is amazing thank you for the ministry
We still need him as our very own too 🥲
U just assist him to organise a concert! Am sure he won't miss coming
We are ready to adopt him
He's coming next Saturday safari park
Simba wa nyimbo za injili, mungu azidi kuinua huduma yako🙏🙏
Yesu akulinde ufike usiishie njiani unaujumbe mkubwa saaana upo ktk kuongozwa na ROHO MTF. HUYO ROHO MTF ASITOKE KWAKO
Team Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 for Mbonyi. We love you so much❤❤❤
Who is listening to this song for the 10th time. Beautiful song...reminding us of God's mercy to us...and His unending love. Israel you have done it again. God bless you. From 🇰🇪 with ❤️🙏🏿
Here 10001th time
For the hundred time...
Tuko hapa
Powerful song....listened countless time
Huu wimbo huwa unanibariki sana... Listening 30/03/2024 at 12:08am
Wow hii wimbo umemuokoa mume wangu from drunker Aki mungu azidi kukulinda,nyimbo zako hakika Zina uwepo tumemjua mungu hallelujah ubarikiwe zaidi,tunakupenda sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
God has used Israel Mbonyi to reach us in different ways through songs - its really amazing.
😂😂😂
Big love from Kenya to Israel 🇮🇱 Mbonyi
Wakati nimeona izi wimbo nimeona kama vile badaee nilipoteza mengi sana kutopo zijuwa . good bless you.wa Congo nipee likes ata 20.🙏
Kunywa soda baridi uipendayo...ukija Tanzania nitakurudishia gharama....kwa kweli nyimbo zako zinapenya ndani ya moyo...zinabariki sana...wewe ni chombo cha sifa...Yesu akutunze Israel❤❤
🙏🙏🙏
Wooow how many loves people from rwanda 😢😢😢😢they have nice songs
Wambieni wenye huzuni tulizeni wenye majeraha tuna mungu mwenye upendo ❤❤❤❤
Amen🙏
Naendelea kubarikiwa all the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu akubariki sana pedwa msumbiji 🇲🇿🎉🎉🎉
A great composer and a Poet in heavenly mysteries Amen! Israel is not only a worshipper but also a prophet, I am still crying, I believe that you Got this song from heaven, Heaven is really so proud of you. I pray for you everyday, be blessed Our Israel of Africa we love you.
Team Kenya🇰🇪🇰🇪 we glorify the lord thank you mbonyi for your powerful songs
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 napenda sana mtumishi wa mungu navyo imba brother unanivutia sana Israel mbonyi #malengoyamungu weka like zake hapa zote za Israel mbonyi malengo ya mungu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@israelmbonyi🎉🎉🎉
We need u& ur team in kenya this year of harvest 2024 please blessed brother Israel
To the person who is reading this ,Please Don’t give up God loves you And I do too❤Just have Faith in Him, a lot of Faith! Everything will be ok 😇 AMEN!!
Nyimbo zako zinaponya Sifa Na utukufu kwa Mungu Amen 🇹🇿
This is it Israel, thanks for listening to our requests and translating. We’re here to support you 👏🏽👏🏽🇰🇪🇰🇪 Looking forward to Icyambu translation 😊
The funny thing is that I sing that fluently
I sing that like I am Ruandese.
Waiting for this too
I sing na sijui maana😂😂
saame😂@@faithjelagat176
Mungu namwona live ndanii ya mbonyi
All of us Israel Mbonyi welcome Kenya!
Mbonyi you are a blessing to the world and more so age group continue
Dear Rwanda people, kindly lend us Mbonyi and his team of worshipers for a worship vigil in Nairobi, Kenya 🇰🇪 on 31st December as we usher in the new year. We can shusha nyavu and combine him there coz we want this fresh oil to fall on Kenyan soil as well
Loader please 🔊🔊🔊🔊🔊🔊
My humble prayer is that he will never be persuaded to do a collabo with any Kenyan artists as they are stale.
@@SharonRohp-vk8cby 2:08
@@naomikariuki1841246😅😅😊😅😂😢😮😅😊😢🎉🎉😊
kzhead.info/sun/aNORlppoeYZvaYE/bejne.htmlsi=ni99UDi7_mOLVJMZ
Please visit Kenya 🇰🇪🇰🇪.We love your songs . Barikiwa sana.
Am watching this song daily from Emirates n can't get enough of it.. Israel you're a blessing to my broken heart n may God continue using you to bring hope n win many souls to christ♥️♥️🙏
"Tofautisha kuomba kwako" is deep
Praise Atmosphere 2024.... We look forward to see Israel Mbonyi in Kenya.
Feel blessed tunning in from Eldoret Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu nimuweza wayote lazima ninabarikiwa sana kwanhimbo hii ninamini kweli ninafunguliwa leo msumbiji 🇲🇿🇲🇿 amé amé amé amé
Mungu nimwema Sana wimbo huu unaponya nafsi Roho na mwili nausikiliza sikua nzima
Best songs from a young soul sisi ni wana wa mungu 🇰🇪 na 🇷🇼 pamoja hallelujah.santi mbonyi
Israel see the love Kenyans have for you..we are waiting for the day you will have a concert here🇰🇪🇰🇪
Israel mbonyi is the next big thing in the word..hear me. God bless you man of God
More swahili songs. You are the best
Mbonyi is the most celebrated artist in Nairobi the capital city of East Africa. Ukipendwa Kenya, ujue umependwa mbinguni na duniani.
What a beautiful song! I love you Mbonyi. From Bujumbura
𝐘𝐨𝐮𝐧𝐠 & 𝐭𝐚𝐥𝐞𝐧𝐭𝐞𝐝! 𝐁𝐥𝐞𝐬𝐬𝐞𝐝 𝐬𝐨𝐮𝐥!
Capital city of East Africa; I really live his songs
Kabisa huyu jamaa Ako sawa
kzhead.info/sun/aNORlppoeYZvaYE/bejne.htmlsi=ni99UDi7_mOLVJMZ
Kenyan wave is Masssive 🇰🇪🇰🇪
this guy is literally taking over gospel music industry singe handedly, bless you Israel , your name speaks for itself. 🙏🙏
But an hour is coming and now is, when the true worshipers will worship the Father in spirit and truth; for the Father also seeks such who worship Him. Much love from Kenya ❤🇰🇪
Let the church say Amen. 🇰🇪
Amen🙌
❤❤❤❤amen
I love this so much 🙏🙏🙏 I'm a Muslims but because of you Mbonyi llove christians worship songs u make me to love too 🥰 much♥️♥️♥️♥️😊
Don't just get entertained only, he is singing a message to us from God, accept Jesus as your Lord and saviour for He loves you dearly, 🙏
You are welcome to accept Christ as your saviour.
I love muslims I found many of them very humble
Please be Christian my sister in God
Who else in kenya who is reporting missing persons in kenya n they are looking for him is ISRAEL MBONYI
Huyu jamàa ni mtunzi mzuri saana wa nyimbo za dini i real respect you my young brother.. ❤❤❤2024
“”Nzibyo nibwira “” in Kinyarwanda translated to Kiswahili eeeeeeh this guy is something else for sure This is real talent and pure from God’s heart ❤
I could tell it’s a tune I have heard before from him only I could not tell which song
Please translate sinzibangirwa
Amen
To all women trying to conceive but it's all in vain,, God will bless your womb, don't worry, ako na mipango,, he is a faithful God..😊🇰🇪
Amen
Amen
Chombo cha mwenyezi Mungu.ubarikiwe vile unavyo bariki miyoyo za maelfu🎉❤
Tofautisha kuomba kwakooooo, omba vizuri Mungu asikie maombi yako, Karibu Arusha Tanzania
Crazy how none of us might ever see each other in our lives, to whoever is reading this, have a good life.
How does Rwadese feel, having this great Minister in their motherland. Here in kenya, we envy you.❤️❤️❤️
He can also be yours by getting Double or More Nationalities. 👍👍👍👍👍👍👍
❤❤❤❤❤
Blessed
Ntinyari waramutse?
In Kenya we have pitson we don't envy them, we have karua voices too we have more than enough in our motherland we appreciate him but don't envy them
Israel is indeed a voice representing God's kingdom in our generation....blessings from Kenya
From Kenya, Israel abarikiwe na karibu Kenya, thanks brother