MWL TENGWA AFUKUZA WATU WANAO MTEGEMEZA

2024 ж. 30 Сәу.
2 297 Рет қаралды

BWANA YESU ASIFIWE!
SHIRIKI AU NJOO, TUINUE BENDERA YA YESU JUU, NA TUSIMAMISHE NA KUOKOA TAIFA LETU LA TANZANIA KWA KUOMBA, KUFANYA TOBA NA KUMLINGANA MUNGU
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kufanikisha Makongamano:
LIPA KWA SIMU
M-PESA: 5143575
TIGO PESA: 6749284
JINA: UMOJA WA MAOMBI YA KITAIFA
BANK
NMB: 23210038745
JINA: MAOMBI TOBA KITAIFA
BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
UMOJA WA MAOMBI NA TOBA YA KITAIFA
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
+255 769 515 808, +255 629 304 931
#HudumayaUamshoNaMatengenezoYaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840
#0658901901 RUDI_MWANZONI _ MWL. TENGWA
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:
M-PESA: 0752 001 840
TIGO PESA: 0678 304 931
AIRTEL MONEY: 0694 331 055
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
AU KUPITIA BANK ACCOUNT
CRDB: 015 232 628 6200
NMB: 2461 0015 434
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
#HudumayaUamshowaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0658901901
#0752001840

Пікірлер
  • Eee Mungu tusamehe Sisi waja wako tumekosa Sana turehemu

    @InjiliyaUfalmetv@InjiliyaUfalmetv13 күн бұрын
  • Yesu nipe HEKIMA ya kunena nawe mbele za watu wako.,na utusamehe makosa yetu kama nasi tunavyo wasamehe waliotukosea,na zaidi ya yote nisijione kwamba mm ni bora sana kuliko wengine Amina.

    @jericonzogolo149@jericonzogolo14917 күн бұрын
  • Mungu nifundishe kunyamaza mimi😢

    @luciasteven3314@luciasteven331417 күн бұрын
  • Mwenyezi Mungu tujaalie mioyo ya unyenyekevu. Amina.

    @maureenmgeni@maureenmgeni18 күн бұрын
  • Mungu turehemu tuu

    @angelanaftael7965@angelanaftael796518 күн бұрын
  • Kwa Mungu tunahukumiwa kisheria siyo kama tuwazavyo kibinadamu. Kupitia kosa dogo hilo linaweza kuwa na hukumu kubwa kwasababu Mungu anataka upondeke moyo wako, ujione si kitu mbele zake ndipo utamfaa. Dhamana aliyopewa Mwalimu Tengwa anacho kibali cha kumkemea mmoja ili wengine wapondeke na kuzichukia nafsi zao. Hivyo usiutazame ukali wa Mwalimu kama hatia, Mungu wetu ni mkali kuliko hata tengwa ndiyo maana yoko tayari kuiharibu Dunia yote ili abaki na watu wake wachache. Ninani Binadamu mwenye ufahamu wa kuyajua mambo yampendezaye Mungu bila kuyajua ayachukiayo? Tusijisahau watu wa Mungu kua sisi tu mavuno, mpanzi huvuna na kuhifadhi vilivyo bora na kuvichoma moto visivyo faa. Mungu anataka nini kwetu ili tuwe bora? Jibu lipo wazi Mathayo sura ya 5 hadi ya 7 Tuweni watulivu tusiwe na mihemko Yesu atuhurumie.

    @anthonysambali7274@anthonysambali72749 күн бұрын
  • E mungu turehemu

    @nancyshikuku-vs9le@nancyshikuku-vs9le18 күн бұрын
  • Duh! Naogopa kuandika hapa. Imetupasa kuwa na shukrani kwa kila jambo (1 Thes 5:18). Sifikiri kama hekima inatutaka kufanya hivi. Ee BWANA msamehe mtumishi wako

    @aaronswai3092@aaronswai309214 күн бұрын
  • Acha kupotosha wa eagt hatuko hivo

    @lucksonsikaona505@lucksonsikaona50514 күн бұрын
  • Mtumishi mbona ametoa sadaka imefanya kazi msamehe tu na Umwombee

    @InjiliyaUfalmetv@InjiliyaUfalmetv13 күн бұрын
  • There is a thin line between arrogance and confidence in Christ

    @kenanimwakanemela483@kenanimwakanemela48314 күн бұрын
  • Hmmmm

    @YustinaLiwaya@YustinaLiwaya18 күн бұрын
  • Mungu msamhehe mtumishi huyu

    @user-wl2up9ie4i@user-wl2up9ie4i17 күн бұрын
  • Ukiwa umebeba injili hata kwenye mti unalala tu ,Kumbuka tulienda kushuhudia Mahali tulikuwa tunalala chini na injili ilisonga Mbele

    @InjiliyaUfalmetv@InjiliyaUfalmetv13 күн бұрын
  • Coment za kukatisha tamaa mtumishi hazifai.Mungu tusamehe wote.

    @janengaga2928@janengaga292817 күн бұрын
  • Uwe mvumilifu hata Yesu hakufanya hivyo jamani

    @HappyPaul-nj9ri@HappyPaul-nj9ri17 күн бұрын
  • 🌍Mim nadhani hakuna haja ya paniki mtumishi. Ikiwa ulivumilia mamba na kiboko moyo huo wawezaje kutikiswa na hilo? Unyenyekevu wako ni muhim sana ujapopitia kama hayo. Pili ukisema "Tengwa ni MOTO ULAO ni kosa" wew sio Mungu. Tatu yakupasa kusamee na kumpenda sio kuua kwa maneno. Yesu na mitume wangalipanik hiv tena ktk media(kadamnas) wangefika?

    @drpeter3760@drpeter376017 күн бұрын
  • Mtumishi, nakuomba umsamehe maana ndivyo ipasavyo injiri, huyo ni mtoto wa kumzaa msamehe na mmsaidie!

    @stunningtv8426@stunningtv842617 күн бұрын
  • Mtumishi hilo lilikuwa ni jaribu ilikupasa umuombe MUNGU afanye mlango wa kutokea ili ushinde kwa amani na MUNGU angefanya lakini hicho ulichokifanya kwenye midia kama ni hekima MUNGU atuhurumie sote

    @HappyFlowers-ee8ru@HappyFlowers-ee8ru14 күн бұрын
  • Biblia inasema ukipigwa Kofi shavu Hili mgeuzie shavu lingine,halafu usimwambie mtu pumbavu,ni kosa MTMSHI

    @bonifasiemanueli21@bonifasiemanueli2117 күн бұрын
  • Coment za kukatisha tamaa mtumishi hazifai.Mungu tusamehe wote.

    @janengaga2928@janengaga292817 күн бұрын
KZhead